MSAADA: Gharama za kujifunza kuendesha gari

Nakushauri uende chuo cha mafunzo ya udereva, ili uweze kujifunza udereva pamoja na kuelewa sheria za usalama barabarani vizuri. Vijana wengi leo hii hapa nchini wanaoendesha pikipiki(bodaboda) hawana uelewa juu ya sheria za usalama barabarani matokeo yake ni ajili nyingi na kupelekea vifo na ulemavu.


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Mh lakini kama mtaana napata mtu akanifundisha vizuri sana kuliko kawaida je ni vibaya
 
Back
Top Bottom