JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wandugu habari zenu naomba msaada maana hapa ndipo lilipochimbuko la ukweli. Nimenunua Ractis new model ikiwa na genuine km (20k) kutoka japan ( certification ya mtu alonunua toka kiwandani...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Wadau habarini. Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990. Je, naweza kuweka engine ya Cc 1290. Je ni vitu gani nitahitaji kubadilisha.
0 Reactions
10 Replies
646 Views
Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
2 Reactions
8 Replies
428 Views
What is the technical challenge of Subaru Forester XT Subaru challenge
4 Reactions
11 Replies
615 Views
Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5 Body ni station wagon Sasa kwanzia...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida. Lakini...
123 Reactions
479 Replies
88K Views
Kibongo bongo, Toyota hana mpinzani kwa idadi ya magari na "kuaminiwa" na watu. Ila sasa kwa gari "imara" used kutoka Japan, Toyota brand ndio inaweza kuongoza, ikifuatiwa na Honda namba tatu...
10 Reactions
14 Replies
873 Views
Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna...
2 Reactions
6 Replies
551 Views
Naomba msaada Gari yangu aina ya ist inazima nikiwa kwenye mwendo mdogo tatizo litakuwa nini wadau?
2 Reactions
7 Replies
557 Views
Wakuu wazima humu, naomba ushauri wa kitaalam kwenye gari hii diesel model. Kuhusu ubora na changamoto zake
6 Reactions
72 Replies
2K Views
Za siku wakubwa. Leo naomba niwaletee uzi ambao asili yake ni kutoka kwenye group letu la whatsapp la ISAL Motors juu ya malalamiko kwamba kuna gari fulani ni bora kuliko ingine kwamaana ya kudumu...
16 Reactions
78 Replies
5K Views
Habarini Kwema !!!, na gari yangu aina ya Toyota Brevis nilinunua kwa mtu hii gari shida yake kubwa nikiwa naiendesha inazima tu gafra yani cjajua shida nn mana nilinunua mwezi wa 6 mwaka huu...
5 Reactions
29 Replies
10K Views
Sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari (malori) ni muhimu sana hapa nchini na duniani kwa ujumla. Magari ya mizigo yanafika jirani zaidi na mlaji wa mwisho au sokoni ambako meli, reli...
16 Reactions
153 Replies
26K Views
Wataalam na wazoefu wa magari ninatatizo kwenye gari ambapo coolant inaisha mapema kwenye reservoir tank. Nilipo watalaam wachache kwa hiyo ukiuliza wanakwambia nunua uongeze.Nimenunua mara...
1 Reactions
2 Replies
206 Views
Kwema Wakuu Naomba kujuzwa spare parts za hii gari tajwa NISSAN HARDBODY J83 ENGINE QD32 napata wapi za mtumba imported na spare used za hapa hapa bongo (maana spare used za hapa bongo ni cheaper...
1 Reactions
6 Replies
226 Views
Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa. Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini...
23 Reactions
331 Replies
31K Views
Baharia (Seafare) ni mfanyakazi yeyote katika meli. Katika meli kuna mabaharia ambao ni maofisa (Officers) na ambao si maofisa(Crew). Meli ina idara kuu 3 kulingana na mgawanyo wa majukumu na...
17 Reactions
116 Replies
23K Views
1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba uzoefu kwa ambaye ameshawahi kuitumia hii gari (Swift) anipe uzoefu wake kwenye mambo yafuatayo: 1. Uimara kwenye barabara zetu za mikoani. 2. Upatikanaji wa spare parts...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Wakuu poleni na majukumu, Naomba msaada wenu Gari yangu imekuwa na Tatizo la kuzima ninapokuwa naendesha na huwasha taa za check engine, taa ya gear box, handbreak na kadhalika lakini ikijizima...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…