Umofia kwenu!!!
Tukiwa kwenye wimbi zito la TL na huku tukiendelea kuchangia pesa za matibabu nimekaa nawaza hapa hivi kwann mtu akikubusu lazima utafumba macho?? au hata ukitumiwa sms ya...
Asalaam alekhum!
Tumsifu yesu kristo!
Bwana asifiwe!
Mambo
Tuna majina yetu ya asili tuliyopewa Na wazazi au walezi wetu tunayapenda Na kuyathamini
Ila kwa wanawake wengi wao wakisha olewa...
Wassalam wakuu,
Hivi Tanzania hatuwezi kutibia watu kwa ustadi mzuri kabisa?
Unashangaa kila mwanasiasa ama mtu mwenye cheo kikubwa unaskia anaenda nje ya nchi kwa matibabu zaidi.
Mfano mzuri...
Habari za jioni wanabodi.
Poleni kwa stress za makanikia party 2.
Kama kawaida yangu huwa sipendi kuwachosha kwa porojo nyingi.
Nimekuja kwenu mnitoe tongotongo mwenzenu.
Katika izi siku mbili...
Good evening! Ladies and gentlemen!
Katika kuikalibisha siku ya kazi kesho tunaye malkia swahiba92 kikaangoni!
Wageni wetu wengi hupatikani weekends zaidi
Tunaomba ushirikiano Wa utulivu...
Hili kabila, linateka, linaua, linajeruhi n.k n.k.
Kila siku Polisi wamekuwa wakiomba raia ushirikiano kuwataja hao watu wasiojulikana.
Nyie watu " MSIOJULIKANA" mnataka nini nchini kwetu...
Kwanza leo asubuhi naona kama maaskari wengi wapo barabarani mpaka kwenye magari ya mwendokasi.
Nimefika job kazi haziendi kabisa, nawaza tu hapa juu ya Tundu Lisu..
Honestly kazi haziendi...
Wakuu nimehamia makazi mapya halufu ya chakula kizuri hunukia kutoka kwangu, na Kila ninaporudi kutoka kazini ckosi vpaseli.
Hadi kufikia leo hii nishaombwa namba yangu na weke za watu...
Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...
Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini...
Jana nilikuja kuomba support yenu kumtaka radhi ma baby mtoto mzuri hata miss world haoni ndani Moneytalk!
The good news ni kuwa ma mbebez kaona bwana wake niliteleza tu hivyo kanisamehe,thankz...
Waungwana tukizingatia kuwa utafiti wa hivi karibuni umeeleza kuwa watanzania hatuna amani, na binafsi nakubaliana na utafiti huo maana kila kukicha afadhari ya Jana, sasa katika kuisaka furaha...
Baada ya muda mrefu wa kuwa kileleni kama uzi wenye replies nyingi hatimae 'Makapuku Forum' wafutwa kwenye ramani na uzi ulioshika kasi siku za karibuni 'Uzi wa kupeana Likes'.
Hongereni sana...
Hili bango haliwahusu men Bali wadada Na wasichana warembo walio charming beautiful intelligent
Wanaokwenda Na wakati watafutaji wasomi wapenda burudani wenye
Mwamko Wa maisha wanaojipenda...
Binafsi ndo sehemu maalumu yakujua IQ za watanzania,ndo sehemu maalumu yakujua umbea wa serikalini,michezo na burudani,sehemu ya kujifunza majibu ovyo na chaya.
Ndo sehemu ya kujifunza Tanzania...
Kwa nini mnawanyanyapaa na kuwatesa watoto wa kambo. Na bado wengine awataki kuwaona hata ndugu wa mume wafike kuwatembelea nyumbani!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.