Asalaam alekhum!
Tumsifu Yesu kristu
Bwana Yesu asifiwe
Shalom
Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa Neema ya uhai Na afya njema!
Kwa wale wagonjwa na matatizo kadha tunawaombe mwenyezi...
Mabibi Na mabwana habari yenu
Leo tuna furaha ya kumuhost Mrembo Wa jf Bible HusnaThebosslady!
Lengo la show hii ni kujifunza kuelimika Na burudani
Tunaomba ushirikiano Na nidhamu
Katika show...
Jamani naomba niwambie kitu!
Sijawa kumuona huyu dada ila huwa nahisi moyoni mwangu kuna chumba kipo wazi kwa ajili yake ni hayo tu! Kama anasoma atambue hilo kuea chumba chake moyoni kipo wazi...
Mwanamke anaomba hela kila Siku afu umemsevu *MY LOVE* [emoji51]
[emoji41][emoji41][emoji41]kwanin usimsevu VICOBA[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah napenda kuwasalimu marafiki zangu wote humu katika hili jukwaa
Nataka kuelezea kidogo kuhusu siku 4 ndefu za kifungo cha humu jukwaani JF baada ya kuenda kinyume na utaratibu
Sikufungwa...
Nadhani kila mtanzania ana matumaini ya kumiliki Noah. Mimi Noah yangu nilitamani sana siku nitakapo pewa iwe ya rangi ya silva halafu nyuma niandije maandishi long live jpm.
Je wewe ungependa...
Habari za usiku wadau.Hivi sasa ni saa 5:00usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Shemeji kaanza kunitumia msg nikamjibu naona anaendelea tu anadai anataka kuchat na mimi.Cha kushangaza msg zake korofi...
Hivi uwa ni kwanini mwanaume ukimtukana kwamba yeye ni "demu" inaumizaga sana kuliko matusi yoyote wakati wanawake ukimfananisha na mwanaume ni kama wanaonaga umewapa vyeo?
blame no body
Kijana mmoja wakati wa kijiandaa na mitihani ya kidato cha 4 alikuwa anasoma na wenzake usiku gheto. Huko gheto wenzi wakamfundiosha kuvuta bangi. Bangi ilipomkolea akachanganyikiwa akawa anasema...
Hali zenu wanajf natumai nyote hamjambo.....nisaidieni mwenzenu nisiwe na mawazo mda wote nakosa raha sili nkashiba silali kwa raha nnachotaka sikijui naona vurugu tuuu pesa ipo bf yupo mtoto nnae...
Aman iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habari
Kuna wengine tumetokea familia fulan za kitata kinoma yaan za kichawi huwez amin
Mimi had kijijin kwetu wanazengo home walikuwa...
Siku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.