JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wahenga wamepata sababu za kulala nje To my wife *Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*. Mimi mumeo Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania ni mmoja tu. Hawa wengine Rais wa TLS Rumande Rails.wa Yanga Rumande Rais wa simba Rumande Rais wa TFF Rumande Mwingine akijiita *Rais* asubiri moto wake. Nchi...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nikiwa sina kazi ya kufanya napendaga kusikiliza MAPIGO YA MOYO. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Hivi ukiwa unampenda Ali Kiba 100% Eti ndo unaitwa KIBAMIA. [emoji250][emoji250]karibuni Jamaica tubing mazao[emoji250][emoji250] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Katika mitandao inayoongoza upatikanaji wa watu wasiojulikana ni JF. Watu wengi wasiojulikana wamo humu, humu ndio makazi yako. Robo tatu ya wanaJF hawajulikani, hivyo ni watu wasiojulikana. Hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi unakumbuka ni kosa gani uliwahi kufanya maskani enzi hizo hadi ukapigwa stiki za sinto sahau? Tupieni vioja tuvute hisia. Mi nakumbuka siku moja usiku maza anapika wali chini ya banda la...
7 Reactions
24 Replies
5K Views
Jamaa mliopeleka chenji kwa Gwaj updates please. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ujinga ni pale watu wako kwenye majonzi makubwa kwa kiongozi wao kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana, raisi anapokea ripoti ya alimasi, mtekaji wa watoto kuuwawa, Unaamua kuweka mb zako ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nunua mikate mingi Iloweshe ndani ya pombe Warushie kwenye banda lao Wanalewa ndani ya dakika 2 Unawabeba vizuri sana,maana hawa jamaa huwa wana makelele sana kwakuwa wanajijua ni watamu sana...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
mkimuona Paprika msalimieni jamani.....ni muda sasa sijasikia kutoka kwake..
2 Reactions
80 Replies
6K Views
Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika...
4 Reactions
330 Replies
18K Views
Nafasi za kazi (watu 10) 1. Mtu aliyetulikana Mshahara kwa mwezi ni milioni 10....!!!! Kama upo Tayari piga namba zisizojulikana apo Chini. By mtu asiyejulikana
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimechungulia page ya marehem IvanDon, cha kushangaza kuna mtu anaitumia amepost picha ....wabongo wavamia page wamwaga mapovu! Swali; je, ni kweli yawezekana ule uvumi kuwa hajafa ikawa ni kweli...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Msemo huu maarufu wa jf umekuwa chachu ya maisha yangu kubadilika,tangu nikutane nao ingawa kwa 100% siyo msemo rafiki sana,nimefanikiwa kupambana na mambo mengi ninayopitia kila siku kwa amani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi kwanini, wale wadau wa kunywa chai na chapati, wakifika kwenye mgahawa au kwa mama ntilie, mara nyingi huagiza chai na chapati mbili? Yaani ni mara chache kusikia mtu akisema nipe chai na...
4 Reactions
87 Replies
10K Views
Jamani kuoa raha, kuolewa ni furahaa harusi imeshatimiaaa........ Congrats nyingi kwa ndugu yangu nanyupu kwa maana kwa taarifa za kiintelejensia nilizozipata ni kwamba umefanikiwa kupenya ngome...
3 Reactions
126 Replies
7K Views
Ndugu wanaJF. Siku ya leo inakaribia kuisha nikiwa sina amani kabisa. Usiku wa kuamkia leo nimeota watu wasiojulikana wamefika nyumbani kwangu. lakini hawakushuka kwenye gari, wakageuza...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Ilikuwa ndo first time Lakini kwa sasa baada ya kuwaangalia wengine kama Mc pilipili Dogo pepe Erick omond Michael blackson Na wengine nimeongeza ujuzi najiona nimeiva wakuu nahitaji support Sent...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
.
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Wapenzi mambo! Katika maisha yangu niliwahi kupendwa Na dada mmoja pale makao makuu ya nchi yetu! Dodoma! Nikiwa mwanafunzi Wa Udom Alikuwa ananipa kila kitu kuanzia Chakula mavaz matibabu...
4 Reactions
131 Replies
9K Views
Back
Top Bottom