JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tufahamishane jamani, sijawahi kusikia mtu mzima au wa makamo anaitwa Kelvin, kwani wenye haya majina hawakui?
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo...
1 Reactions
0 Replies
209 Views
Majina yenye maana nzuri na yanavutia sio ilimradi. Majina kama kgani, sijui yakwenye movie hapana. Ni msaada wenye masharti
3 Reactions
64 Replies
2K Views
Shalom wakuu. 5. Tottenham Imemaliza mkiani EPL(17), ila inastahili baada ya kutwaa Europa hivyo kuingia UCL. 4. Liverpool The Reds msimu huu wametwaa EPL, walikua bora sana kabla ya kupoteana...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Interesting...!:p Ni kitu gani ulikipata kutoka kwa Ex na umekaa nacho hadi sasa?
5 Reactions
20 Replies
861 Views
Katika pita pita zangu nimekutana na mdada mmoja yupo London kaniambia kanielewa na ana zawadi anataka anitumie hivo muhuni kutokana na matukio nimekutana nayo nikaona nimtajie jina lisilo langu...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
Heshima mbele GTs Kati ya jumapili, jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi, Ijumaa, na jumamosi, ni siku ipi/zipi unaipenda katika wiki? kwanini? ~ Nomadix
8 Reactions
78 Replies
3K Views
Kwanza sio mimi ndio nataka ushauri maana vijana wa JF nawajua sanaa🤣🤣🤣 Anyway, karibuni kwa michango.
3 Reactions
10 Replies
322 Views
mzabzab usiniulize nimepata picha yako wapi 🤣🤣 -Jasusi Cohen🚀
4 Reactions
1 Replies
286 Views
Gundu ni... Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂 Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!? Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa...
21 Reactions
138 Replies
4K Views
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia. Kwa mfano: 1. La kwendea kazini! 2. La kwendea sokoni! 3. La kuwapelekea watoto shule! 4. La safari za mbali! 5. N.k.
2 Reactions
11 Replies
537 Views
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana. Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye...
14 Reactions
157 Replies
4K Views
Uliwahi kufanya kituko gani ulipokunywa Pombe hutosahau? Niliwahi kunywa na kuanza kuropoka kuwa siwezi kusema siri zangu na hizo siri nikawa nazitaja😁😁 Cc: holoholo Nomadix
20 Reactions
149 Replies
5K Views
2 Reactions
2 Replies
204 Views
Communication/social network is power
0 Reactions
10 Replies
626 Views
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye? Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Interesting...!:p Ni kitu gani ulikipata kutoka kwa Ex na umekaa nacho hadi sasa?
1 Reactions
6 Replies
297 Views
Interesting...!:p Ni kitu gani your Ex alichokupa na umekaa nacho hadi sasa?
0 Reactions
3 Replies
247 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…