Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

dume30

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
391
219
Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule.
Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k
Tuliowahi kusoma hapo tukumbushane mawili matatu kuhusu shule yeti!
Tukumbushane machache ya Msocha,Kinana, McMaster, Mwakasaka ,and the rest.
" Galanos school penda watoto , twakupenda ,twakusifu, tangu zamaaani shule yetu ilikua motomoto.........,"
 
Hahaha dah Galanos nimesoma hapo nimefurahi kwenye wimbo tu.msocha yupo kama kawaida yake....ana tabu mzee yule
 
Ulikua pale miaka gani.

Mimi 2005-2007. Nliwakuta kina mnyilu, mbuzi,etc

Class ya kina Silvester Cross Vara.
 
Bwenini Chai Cube no 2.

Opposite na choo , balaa.

Bado nakumbuka mchakamchaka kuelekea kange / saruj huku tukiongozwa na Kinana na baadae Msocha.

Nyimbo: Msocha pita ,pitaaa eh pita....Mnyilu yupo nyuma pita ukap....

Wazembee wamelala wazembe wamelala.

Watanga mnatutega hyohyooo, watanga mnatutega hyohyooo.
 
Mmh kafariki alihamishiwa secondary moj inaitwa kihere ipo sahare kafa kam kitu kama 2013 2014
Aisee, nilikuwa sijui

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
 
Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule.
Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k
Tuliowahi kusoma hapo tukumbushane mawili matatu kuhusu shule yeti!
Tukumbushane machache ya Msocha,Kinana, McMaster, Mwakasaka ,and the rest.
" Galanos school penda watoto , twakupenda ,twakusifu, tangu zamaaani shule yetu ilikua motomoto.........,"
Juzi kati nimeenda nimemkuta msocha yuko vilevile full mawenge
 
Bwenini Chai Cube no 2.

Opposite na choo , balaa.

Bado nakumbuka mchakamchaka kuelekea kange / saruj huku tukiongozwa na Kinana na baadae Msocha.

Nyimbo: Msocha pita ,pitaaa eh pita....Mnyilu yupo nyuma pita ukap....

Wazembee wamelala wazembe wamelala.

Watanga mnatutega hyohyooo, watanga mnatutega hyohyooo.
Kube namba two pale nilikaa nikiwa mgeni zile harufu za toi watu wasipomwaga maji zilinichosha.

Nikahama juu huko gorofani
 
Back
Top Bottom