JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kwanini manamke hawezi kukojoa uku anatembea? naombeni mnijuze anaejua
0 Reactions
74 Replies
3K Views
Mm ni mmojawapo niliyekuwa nafatilia kombe la dunia kimya kimya sema hawa wachezaji walinikosha sanaa N'golo kante 812477 Mbappe Salah hubby Huyu Ronaldo na Messy huhuuuu pole yao...
3 Reactions
140 Replies
8K Views
nime wamis sana wanaume wa hum sjui kwanini nime mis uchangamfu wenu.
12 Reactions
299 Replies
16K Views
Habali zenu wakuu poleni na kupotezana kwa mda asanteni JF mmeturejeshea huduma. Kwanza kabisa wakuu natoa pongezi na kumshukuru Mungu nipo hapa Johannesburg mwezi na siku kadhaa nilipata kazi...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Siku moja nilikuwa gheto na manzi yangu sasa wakati wa malovedavi manzi yangu akajakushtuka kuwa kuna mtu dirishani anatuchungulia tukiwa tunafanya...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
yes yes, ni utani tu wa hapa na pale maana maisha yanahitaji tucheke tufurahie pia, unajua siku moja mdada fulani alikuwa amekaa na jamaa mmoja ndani ya room wanapiga stori, mara ooh jamaa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwanamke umeenda kumtolea mahari kwao ya tshs million 2,.. Ukafanya sherehe ya tshs million 5. Unakuja kumpa talaka kwa kukuta sms ya tshs 50,.. Hivi hizi ni akili au matope?
1 Reactions
5 Replies
798 Views
Walevi nyoosha mikono juu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo baada ya mihangaiko nikataka kupooza kichwa na koo nilipozoea kupata vyupa leo nimekuta bia zimeisha ila imebaki aina moja tu balimi kuuliza bei naambiwa chupa kubwwa buku jero nikajishauri...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Uongozi wa club ya yanga sc umekiri kusikitishwa na matokeo ya shule ya wasichana ya jangwani. source shishi.com
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekua nikitupia nyavu katika mitandao ya kijamii ili angalau nivue watoto wawili watatu wakuvunja nao mifupa wakati meno ingali ipo, mara nyingi nimefanikiwa mara nyingi pia nimechezea vya mbavu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanaume hivi mna mapepo ya kupenda nanilino!!!:(:( Wengi wenu mkifika benki akiona anahudumiwa na dada mrembo basi inakuwa tabu atajisemesha humoo, tena kwa sauti na kama kabinti kameingia kwenye...
6 Reactions
101 Replies
7K Views
Jinsi ya kubadili fadhaa/aibu kuwa fursa. Baada ya jana kuaibishwa. Jana nliandika namna nlivyoaibika huku wanaume wakiacha niabike mpaka kukolewa na mwanamke anayejiheshimu. Leo nmebadili ile...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanini wanaume wa sikuhizi mkioga wanajisugulia boxer??? Hiv mmepatwa na nini nyie lakini[emoji23] [emoji23]
3 Reactions
80 Replies
4K Views
Yani mwanaume unatembea mtaani na kibka kabisa. Bukta zenyewe fupi hadi mapaja yanaonekana. Sidhani utakuwa mwanaume kamili kwa jamii zetu alafu uvae ki bukta kiko juu ya magoti.
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Asubuhi ukute bank account ina $150 billion kama Jeff Benoz utafanya nini?
4 Reactions
62 Replies
4K Views
Jiulize haya yanatutokea kila siku..... LAW OF QUEUE: Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi. LAW OF TELEPHONE: Namba unayopiga kwa makosa daima haipo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwakweli sielewi elewi. Unatakaa ufatilie thread za MTU flani humu. Member. Unakuta kaweka limits.... Huwezi kuona thread zao. Wala kuanzisha conversion. Tatizo nini ? Hata kina Dada. Au mnaogopa...
3 Reactions
76 Replies
3K Views
Kwamba mwenzenu mapenzi yangu ni makali sana mpaka sielewei itakuwaje huko mbeleni. Muda ote niko naenjoy mapenzi naye. Sioni kama kuna umuhimu wa kufanya jambo lingine zaidi ya muda wote...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu wote humu JF kwa kuzingatia utukufu wa aliyejuu. Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimetoka vijijini nilipokuwa na sasa niko hapa Mwanza town. Katika safari yangu huko vijijini niliona...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Back
Top Bottom