Kina dada humu JF Mnaoficha profile zenu tatizo mini?

Smkwawa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
651
964
Kwakweli sielewi elewi. Unatakaa ufatilie thread za MTU flani humu. Member. Unakuta kaweka limits....
Huwezi kuona thread zao.
Wala kuanzisha conversion. Tatizo nini ?
Hata kina Dada. Au mnaogopa kuibiwa tena ?
Jamani badilikeni. Kidogo wengine tunapenda thread zenu. Halafu mnazificha ..
..

Tukaribisheni PM na sisi
 
Nimecheka eti mkaribishwe PM lol. .

Ila kwa upande wangu sioni kama kuna tatizo Mkuu sababu kila Member ndio mmiliki wa Id na kila kinachoizunguka hiyo Id yake na ana maamuzi kufanya kile ambacho kiko sahihi kwake na sidhani kama yana shida yeyote.

Nionavyo we zungumza na wale ambao una shida na hizo sijui nyuzi zao wawe wanakufungulia japo kwa mda mchache ili upate kusoma hizo nyuzi zao Mkuu.
 
Nimecheka eti mkaribishwe PM lol. .

Ila kwa upande wangu sioni kama kuna tatizo Mkuu sababu kila Member ndio mmiliki wa Id na kila kinachoizunguka huyo Id yake na ana maamuzi kufanya kile ambacho kiko sahihi kwake sidhani kama yana shida yeyote.

Nionavyo we zungumza kwa Herufi kubwa na wale ambao una shida na hizo sijui nyuzi zao wawe wanakufungulia japo kwa mda mchache ili upate kusoma hizo nyuzi zao Mkuu.
Hapana sio sawa
Endapo ameolewa ikitokea Mzee amepitia comments ndo chanzo cha kutolewa nundu
 
Back
Top Bottom