Jf ni a community ambayo ina mchanganyiko wa watu mbalimbali, wengine wanaweza wakakukasirisha na wengine wakakufurahisha, katika kujumuika na watu huku. Mtu unatokea kuvutiwa na watu mbalimbali...
Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?
Mnafanya hivyo ili iweje sasa?
Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?
Tena...
sijui ni ushamba wangu ama vipi,hivi vyoo vya sinki kila nikijitahidi(hasa vya kukaa)naona ukiwa unashusha kontena za makonda maji yarukia kwenye makalio.
Sasa ni mimi tu,ama ni asili yake hata...
Wakuu leo nataka kujua wasichana wa kishua na wa uswazi wapi ni wako vizuri katika maeneo haya
1) wapi wanajua kulienzi penzi kati ya wanawake wa ushuani na wanawake wa uswahilini
2)mademu wa...
Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu...
Msaada wakuu ,nimekuwa nikijiskia katili sana nikila nyama hasa za kuku najiskia vibaya sana naona mpaka huruma kumkatishia uhai wake kiumbe mwenzangu .
Hali imekuwa mbaya zaidi siku hizi hata...
Leo nimemuota sky eclat ila ubaya sikumbuki lolote la maana nililomuotea ila
Natamani ile ndoto irudi tena maana nakumbuka kuna kipande kama nilikuwa nafanya naye mapenzi vile.
Ile kuamka...
Yani ukiwa upo mgahawani/hotelini afu ukawa unakata matonge ya haja ukidhani hakuna anayekuona
Utashangaa ile unamaliza tonge la mwisho muhudumu wa kufuta meza huyu hapa kashakufikia kaja...
Mi kila nikiingia humu naanzaga na jukwaa la nafasi za kazi ili nione kama nitabahatika kupata kazi
Halafu naenda jukwaa la matangazo madogo madogo ili nione vitu vinavyopigwa mnada ninunue kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.