JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kupoteza kitu ni jambo la kawaida. Show me a person ambae hajawahi poteza kitu, and I'll show you a liar. Lakini kuna vitu vingine mtu unapoteza au ibiwa, ambavyo kwako vilikuwa na thamani...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Kweli kuzaliwa 3rd countries majanga aisee.. Yaani toka kuzaliwa kwetu mpaka kufa,mwendo ni Mtumba tu Yaani:- 1.DEMU/MKE mtumba 2.GARI mtumba 3.MAVAZI mtumba 4.MALAZI mtumba 5.SIMU mtumba 6.TV...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Ikiwa ni Usiku Mwingine Tulivu tena, wanaJF niwakaribisheni katika Uzi huu Maridhawa wa Kushirikishana tafakuri mbalimbali za Maisha.. Leo tuangalie hii case ya Changamoto ya Kukoswa koswa na...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni miaka miwili tangu nipo na huyu mpenzi wangu anaitwaa sharifaa ...nimempendeaa ufupi wakee ni mfupiii sana ...mashikajii wamenisema sana nimuache siendani nae lakin awajuiii ...mambo aliyo...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana....kuna mtu wangu alikuwa akiusikia huu anajua...KIFUATACHO ITV NI.......................Weka old school yako moja tujue inakukumbusha nini.
8 Reactions
224 Replies
10K Views
Mwaka 1982 hadi 1983, Rais Magufuli alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati. Kwa wale mliobahatika kufundishwa na JPM mje hapa mtueleze uwezo wake wa...
14 Reactions
132 Replies
16K Views
Wale wa kwenye ndoa pliz mkae mbali na uzi huu msije kufa kwa stress. Tujadili yale yanayotuhusu sisi mabachela vile tunaishi kwa Raha kuliko walioko kwenye ndoa, vile tunavyowatafuna wale...
3 Reactions
61 Replies
3K Views
Leo ni July 15, Nilizaliwa siku Kama Hii 199X.. Naomba Nichukue sekunde zako chache uniWish Kheri Katika siku yangu hii ya Kuzaliwa! [emoji120][emoji120]
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Ukiona mwanamke kaanza ukorofi na kupandisha kiburi na dharau, mpandishe HADHI au CHEO, Mfanye awe mke mkubwa!!![emoji13] [emoji13] [emoji13]
2 Reactions
10 Replies
8K Views
My dear sisters, no man will be comfortable to marry a lady who slept with even 5 men before him. Although to be honest it the best thing to do but when you are too honest here you will remain on...
6 Reactions
83 Replies
4K Views
Just for laughs...
1 Reactions
5 Replies
798 Views
Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala. Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa. Jumamosi nilishinda...
19 Reactions
186 Replies
9K Views
Life is a collection of memories. Lakini kuna memories zingine ukizikumbuka, iwe kwa sababu moja au nyingine, unatamani hata ungeweza kuirudia tena, uwe in that moment again. So kwako, what...
0 Reactions
8 Replies
872 Views
Weekend ndo mara nyingi watu hupata muda wa kurelax na kufanya kile wanachopenda. Inaweza ikawa going out, visiting friends/family, shopping, au something as simple as just chilling at home. So...
3 Reactions
85 Replies
5K Views
Habari za muda Huu wakuu poleni Na shida zote mnazokumbana nazo katika kutafuta Mkate wa kila Siku bila kuchelewa niende kwenye Mada Husika...! Zamani ilikuwa Mgeni akija Nyumbani kwako...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
This guy is a keg master...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Sometimes the distraction is so good, you can't help yourself
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Nafahamu watu ambao ni waoga kweli wa sindano, lakini huyu takes the cake
1 Reactions
3 Replies
1K Views
KALI ZA KITAMBO 1.Anodi la Jenii 2. Prideta 3. Mniga analiwa na mamba 4. Komando kipensi 5. Rambo usongo 6. Maiko dudukofi Ninja 7. Sensia kani 8. Wabasi 9. Anodi la ujiuji 10. Chaki nolis 11...
11 Reactions
93 Replies
16K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom