JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Humu tuna-interact na watu wa aina mbalimbali, na kulingana na jinsi watu wanavowasilisha mada, ku-comment au avatar walizoziweka, watu hujenga akilini mwao taswira ya jinsi huyo mtu alivyo. So...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Hawa nao tuwaiteje sasa[emoji848]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wakuu.., Niko nawaza hapa mzungu asiejua kiswahili hata kidogo ikitokea yupo Tanzania na akapata shida flani ya kumfanya akatafute msaada kituo cha polisi nina imani atapata...
1 Reactions
13 Replies
959 Views
nilikuwa nikiona ndege(aeroplanes) zinapita natamani siku moja idondoke jirani na homu ili niione kwa karibu na niokote vitu. watoto wa kitaa, ujinga unawazwa tangu hatujui mema na mabaya.
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Mji wa Rombo siyo jina lake kamili bali ukiligeuza kutoka mbele kurudi nyuma ndiyo usahihi wake wa kutukuka. Nawasilisha.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili suala limekithiri sana,na marejeo yangu ni humu humu jf. Kwa kukithiri kwake mpaka imefikia hatua kuhisi kama vile wanatuchora au wanafanya utafiti fulani,yaani kwa ufupi hawako serious...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nikawaida kwenye comments ukiona jina utalisoma na kulitamka kimyakimya(kimoyomoyo). Usibishe huwa unafanya hivyo. Sasa kwenye utamkaji najua tunatamka tofauti-tofauti. Taja jina la mwa JF na...
12 Reactions
267 Replies
10K Views
Nimekuwa najiuliza hili swali.maana me naamini sisi sote tunaishi mijini hasa majiji dar na labda katika miji mikuu ya mikoa.kwa kuangalia threads za wengi naona wengi wajanja wote Wana misemo ya...
4 Reactions
229 Replies
14K Views
Napenda kupata wenzangu ambao tumezaliwa Mwezi mmoja "August" Karibuni. August 18...198.........
2 Reactions
54 Replies
3K Views
tujikumbushie enzi zile p/school mwalimu wa darasa alipokuwa akiita majina ya wanafunzi darasani huku wanafunzi tukitakiwa kuitika (jana na leo), kama jana hukuwepo unasema (leo). kama hayupo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu Naomba Kuuliza, mimi sina kitambulisho chochote kinachotambulika kitaifa ila sasa nataka ku renew line yangu ya "VODACOM", Nafuata Taratibu Gani Kurenew Line Ambayo sina kitambulisho...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Binti mwenye umri wa miaka 13 alihisi hivyo baada ya kupokea zawadi ya mnyama anayempenda. Mwanamke fulani ambaye ni mfanyabiashara mwenye mafanikio alisema kwamba zawadi ya kompyuta aliyopewa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtu mwenye akili timamu hufanya mambo kwa nia yaani dhamira na lengo fulani. Huu ni uzi ambao unaweza kubadilisha dhamira zetu za awali au sababu zilizotufanya tuingie jf. Kila mtu ana sababu...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
When you win, be kind. When you are ignored, be kind. When you are stuck, be kind. When you are upset, be kind. When disappointed, be kind. When you are in doubt, be kind. When you are scared, be...
1 Reactions
19 Replies
951 Views
Condom testers wanahitajika haraka, soma tangazo hapo chini
1 Reactions
2 Replies
842 Views
Wakubwa shikamooni vijana Habari zenu masela.mambo vip........??? "Hakuna Mapenzi ya kweli kwasasa". Unakubaliana na hii kauli au unaipinga...?
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Sio wote baadhi yao haswaa vijana wengi wadangaji hata humu waweza kua wapo.. Hayajanikuta ila yanawakuta watu,vijana wa siku hizo wadananda...chakla wanapenda slopeee...kama zote!!hawataki kubeba...
20 Reactions
568 Replies
24K Views
0 Reactions
2 Replies
659 Views
Mitihani ni part and parcel of the education system, kuanzia ngazi ya kindergarten mpaka chuo. Kiufupi haikwepeki. So katika maisha yako ni marks gani ya chini kabisa ulishawai pata kwenye...
1 Reactions
109 Replies
6K Views
Tukiacha ushabiki na ukanda usio na kichwa wala miguu kipindi cha ITV saa tatu usiku siku kila Juma tatu ndicho kipindi bora chenye kufundisha, kuelimisha na kutukutanisha na watu wenye weledi...
2 Reactions
9 Replies
831 Views
Back
Top Bottom