Habari za majukumu wakuu..
Bila kusahau kwamba leo ni Ijumaa nawakumbusha ibada kwa wale wenzangu nami.
Rudi kwenye mada.. Kama inavojieleza hapo juu nawakaribisha sana.
Sent using Jamii...
Ni ukweli usiopingika kwamba humu ndani watu wanatumia majina fake, avator fake , na wengine hujiunga mara mbili mbili kama member mpya. Lakini pamoja na hayo, ukiwa mtaalamu wa lugha ya maandishi...
Tupe experience yako, Jambo gani la hovyo ulishawahi kufanya sababu ya mapenzi!
Mimi nilishawahi kutoka saa sita usiku kwenda kumkiss babe, tena njia inapita makaburini, sijui ujasiri nilikua...
...sehemu za siri za mwanamke ni kavu ila mwanaume akizigusa hulainika
Hii inatufundisha kuwa mwanaume siku zote hufanya maisha ya mwanamke kuwa mepesi,
Sehemu za siri za mwanaume ni laini...
RACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani...
Jana nikiwa kwenye ofisi za kampuni za mabasi za Adventure na Saratoga jijini Mwanza niliona kituko cha kumalizia mwezi wa Julai, 2018 kutoka kwa kaka ambaye alijigamba kuwa ni mkurya na kweli...
Nimejaribu kujiuliza maswali haya nashindwa kupata majibu sahihi
1) akianza kukutongoza kama hamfahamiani,ukimuuliza vipi una mke ,mchumba au mpenzi
Majibu: kama ana mke,"Alinizengua tukapigana...
Aisee hakuna kipimo kigumu cha utu Kama kupokea pesa kimakosaa... Wachache Sana hurudishaa pesa hizo kwa Muhusika
Mimi nakumbuka nilikuwa Nipo kwenye Mitihani ya mwisho ya chuo mwaka Jana hapo...
1. Kiss
Kwanini uombe mwanamke akukisi. Ni wajibu wake kukukis sasa kwanini unajilainisha lainisha.. Bebi naomba unikis huo ni ushamba. wajibu wake kukikis. Tabia zenu za kuomba omba kukisiwa...
Namshukuru Mungu muumba Mbingu na nchi.
1.Naomba siku yangu ya kuzaliwa niisherekee tofauti kabisa na Wanajf wenzangu.
2.Naombeni nikaribishe maswali kutoka kwenu uliza chochote nitakujibu?
Acha...
Wakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie...
Kuna mtu ambaye hajawahi kuongopa wajameni.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Naombeni jibu uongo ni nini?
Eti mapenzi bila uongo hayaendi? HAYAFANIKIWI.
JAMANI KWANI UONGO NI NINI?
Mrs...
Leo nimeamini wanawake wenye kazi wanadumu kwenye ndoa .
Hawaombi ombi helaa hovyo kwa wanaume maana mishahara inawastiri.
Wanawake wa kileo wasio na kazi ni pasua kichwaa si etiiii eeeh wanaume...
Hakuna kitu kinachompa binadamu majuto moyoni mwake kama siku moja akakumbuka yote aliyoyafanya yalikuwa ni kuupoteza muda wake tu. Alitumia nguvu nyingi, aliacha vyote kwa ajili ya kitu kimoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.