Watu wa Mikoani mtuache kidogo kwanza. Kwanza Tunapozungumzia Dar es salaamu, mjue tunazungumzia sehemu mbili tofauti.
1 - USWAZI na 2 - USHUANI. Binafsi kwangu Dar es salaam halisi ni USWAZI...
Wakuu nahitaji kuoa kwa sasa, kutokana na skendo zinazo endelea mitaani, kwamba yapo majina ambayo hayajatulia katika mapenzi, mfano Mwajuma, Asha Mapepe, Marry, Chausiku na mengineyo, imenifanya...
Yule mshindi wa shindano la Bongo star search (BSS) mwaka 2009, PASCAL CASSIANO
kwa sasa Account yake imeisha na kubakiza hela ya kitabu tu (kama Tsh. 3000), watu wa karibu wa msanii huyo...
Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali....
Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibuπ€
Kanisa...
Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua...
Wakulungwa mshafika humo hapo Dom enzi hizo,
Shilam Disco ilikuwa balaa la mjini.
Ilikua dakika mbili tu toka home kufika mle, tumecheza sana break dance mle ndani.
Na wale mabinti ukiwakuta mle...
unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana
if we click we click if we don't we won't
Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja...
Kwa kawaida maisha yetu hutegemea mzunguko wa saa 24, kati ya hizo saa 12 ni usiku, leo nakuletea sehemu sita ambazo jua huwa halizamii kabisa usiku na mchana, twende pamoja.
Wakuu mi niseme tu ukweli nikikutana na binti mrembo halafu awe ame pass like a shadow huku nyuma naanza kumuonea huruma.
Naanza kumsikitia nikiwaza jinsi anavyojifiria anapokutana na wenzake...
Wasalaam.
Hii ni Kwa wanaume wenzangu japo hata akina dada,mama mnaweza toa ushauri.
Iko hivi,
Juzi, yaani jumamosi,
Nilijichanganya kwa kuhisi nimepotelewa na kifaa changu ndani cha muhimu...