“Most of the Enemies you have are people you once helped in life “
“ Wengi wa Maadui zako ni wale Watu ambao ulishawahi Kuwasaidia Kimaisha “
Ukiniuliza Mimi GENTAMYCINE nasemaje kwa hii ‘ Kitu...
Wakati mwingine unatamani uchangie mada fulani lakini unajikuta umechoka hata ku typing tu ile unaona uzito,na Mambo yenyewe yako mengi mda mchache..Sasa napendekeza katika maboresho katika app...
*Kwa jinsi navopenda biashara na hii mvua nataman niseme nauza matope na manyunyu kwa jumla na reja reja* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu...
Habari za wakati huu wakuu, nielekee moja kwa moja kama kchwa cha habari kinavoelekeza, na imani miongoni mwetu n watumiaji wazuri wa daladala, komenti kwa kutaja/kutoa kauli ulizowahi kuzisikia...
Wakuu kifo kwa sasa kipo nje nje watu wamekuwa wakaidi halafu Mambo yanatisha Hali Ni tete.kila mtu na time yake.hatari sana yaani Mambo yamekuwa conk.kupotea Ni dakika sifuri kufa kupo tu ndani...
#mtazamo...
* Kumnunulia demu wako simu [emoji338][emoji338][emoji338] halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha [emoji389][emoji389] huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU.
Kumlipia demu wako ada ya...
Wadau Mimi ni Mtumoiaji Mpya wa jamiiForum Ningependa kupata maelekezo ya Jinsi ya Kuitumia toka kwenu Kama una Chochote Ukijuwacho Naomba unijulishe na Mimi Pia.!!
Jamani vijana wengi wanavuta bange balaa.
Kwani usipovuta hukui? Halafu baadae wanajifanya eti ni kharam,sijui huwa wanaacha?
Serikali iko wapi maana vijiwe vinajulikana.
Tunao kunywa hizo pombe nimegundua akili zetu ni kubwa na uwezo wetu wakuchanganua mambo ni mkubwa na tukimshahuri mtu tunampa ushahuri makinikia tofauti na wale wanao kunywa bia zinazoitwa lite..
Katika makosa ambayo siwezi kufanya ni kupanga bajeti ya bia na vilevi vingine kwa sababu bia inapunguza mawazo inaongeza furaha inaongeza hamu ya kula chakula na papuchi tutafute hela tunywe bia...
Mzuqa!
Nilisimuliwa kipindi flani cha nyuma na jamaa yangu flani mbongo flani kwa kujipendekeza na kiherehere akavamia msiba wa wazungu eti kwenda kufariji na ni yeye tu pekee yake nigger...
Ni kumbukumbu tu
kwa sie tulio ishi uswaz miaka ile ya 2000 kuja chini...
Unatumwa dukan ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1000/= hafu ww unaamua kupitia sehem unanunua andaz la sh mia ili...
Aisee katika mambo yote ambayo vijana wenzangu wanafanya Ishu ya kwenda club usiku Ilinishindaa kabisaa... Niliwahi jaribu kwenda Club next door siku nkaishia kulala tu nkaona hii sio Fani yangu...
Wakuu hope mko fine.
Yangu Leo n machache. Kama kichwa cha habar kinavyo eleza. binafsi hua nahisi kukosa kitu cha muhimu pindi inapo tokea sijapata nafas hata dakika moja ya kuperuzi humu...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu
Leo asubuh mida ya saa mbili nikiwa kwenye dinga la wife natoka kumpeleka kazin nilikutana na maaskar wakanipiga mkono...
Spika: Klorokwini
Naibu: Ze boss
M/kiti: Preta
Waziri mkuu: Asprin
m/kiti kamati ya nidhamu: PakaJimmy + INVISIBLE
Wabunge: Kila atakaye ichangia hii thread.
MAADA : Ushoga na ndoa za jinsia...