Police wamenipiga toch ya nyumban badala ile ya barabara na kunipiga fain nikagoma

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,954
2,000
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu

Leo asubuh mida ya saa mbili nikiwa kwenye dinga la wife natoka kumpeleka kazin nilikutana na maaskar wakanipiga mkono nikasimama tu fresh ili kuwasikiliza kitu gan wanataka

Police mmoja akasema nimetenda kosa la kuendesha kwa speed kubwa hivyo nilipe fain

Nikawambia nioneshe. Namba za gar kwenye hiyo toch yenu ni mda gan mimi nimeendesha kwa speed, police mmoja akatoa toch ya kichina ambayo niya kumulikia nyumban akaiwasha kialama chekundu akanambia unaona hapa imeweka taa nyekundu kumanisha kuwa wewe ndo ulikuwa unaendasha kwa speed

Nikamwambia usizan watu wote ni malofa kama wale malofa wa mkapa, msinifanye mimi sina akili hii ni toch ya nyumban achen usanii nyie, sio kila mtu anatokea kolomije

Tukabisha sana hapo nikawachomolea uhun wao nikasepa zangu

Tuwen makin sana jaman
Unaweza kulipishwa kwa kupigwa toch ya nyumban


Sio utan ni ukweli ndugu

LONDON BABy
 

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,954
2,000
Ila mkuu punguza kutufunga makamba,Mara kuna muuza vitumbua ulimtumbua,una tustori twingi tu twa hapa na pale Mara hii tena umeoa na mke wako ana ndinga mara jirani kakuomba mchi wa kutwangia kwenye kinu hahahaha noma sana
Hahahaa tuko pamoja sana mkuu msalimie pacha wako
 

vini10

JF-Expert Member
Sep 30, 2017
222
250
Kwahyo umeamua kununua ndinga sio badala ya kujenga, alafu wacha upimbi ww dogo unaandika mavitu km vile n lazima kuandika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom