Habari wadau;;
Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda.
Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa.
Kuna baadhi ya majina kama...
Mfano mtu una mpa mchongo ana ukataa kabisa una mbembeleza una ongea nae vizuri yaan kwa kujaribu kumpanua mawazo atambue ata umuhimu wa ilo jambo ana goma
Mwisho yame mshinda mambo ndio ana...
Wakuu kwema??
Ni wakiume ( ni around 4-6yrs ),. Ilibaki kidogo nimfukuze alivyoanza kuchuchumaa maana nilijua anataka kunya .. Hakakuniona Kwasabu ya tint
Yaani kachululu kake kamesimama Tu...
My people hope mko poa
1. Ni Sayar gani ambayo siku yake ni ndefu kuliko mwaka wake?
2. Ni Sayar gani ambayo jua linachomoza magharibi na kutua mashariki
3. Ni sayar gani ambayo inazunguka...
Huyu single mama amezidi sasa ni muda atafute bwana.
Hii ni form ya child abuse na sexually abuse tu. Hii sio kazi wala jukumu la kijana wako.
Loh bora hizo zingine hii ya fan big NO.
Ndugu robot Invisible , umeadimika sana baba, nimekumiss, huonekani jukwaani tena.
He, umetekwa na wasio julikana?
Je umekumbwa na sakata la vyeti feki?
Sema neno moja baba na nafsi zetu...
Habarini wadau.
Kama ilivyo ada leo mapema asubuhi kichovu nikijongea stendi kudandia usafiri kuelekea kwenye mihangaiko ya kila siku, maana sikuizi unalala umechoka unaamka umechoka sijui labda...
Mara ya kwanza nakutana na binti mrembo ndani ya Gari, Nilikua natoka Dodoma Bush kuja Dar. Safari ilianza saa 10 usiku kutoka bush, kufika saa 1 tulikua Dodoma mjini tukisubiri kubadilisha Gari...
Dunia haikosi vijambo. Jana wakati nipo ndani ya Daladala natoka Kariakoo naelekea Chang'ombe. Gafla hali ya hewa ikabidilika homo ndani, watu wote wakaziba pua na kuanza kujiuliza ni nani...
Wasalaaam!
Hapa nazungumzia zaid kwenye suala la kutongozana kati ya mwanamke na mwanaume.
Katika harakat za maisha mm kama Demiss uwiiiii nimeshawakimbia sana wanaume baada ya kukutana na...
Je una swali?
Je una changamoto yoyote?
Je kuna ufafanuzi unahitaji?
Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapa
Mzuka wana Jamvi ?
Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!
Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The...
Asalaam aleykum waungwana wote,
Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost...