Jamaa alisafiri akampigia simu mke wake akamuuliza uko wapi!? Mwanamke akasema niko nyumbani.
Jamaa akamwambia kama uko nyumbani kweli kaa kitandani then mwambie dada wa kazi akupige picha then...
Habari zenu wakuu!
Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani.
Nimesikitika familia yangu...
Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana
Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani
Kuna mengi sana...
Mpaka leo naweza kuzungumza, kusikia na kuandika kiarabu kwa ufasaha, ilikua hivi:
Mimi sijawai kabisa kujifunza kiarabu wala sijakaa sehemu wanapoongea kiarabu, lakini kuna siku niliona...
Daah life la shule bhana so powa aisee.
Wakati nipo form 3 shule moja hivi kusini mwa Tanzania tena mkoa wenye baridi kali nilikutwa na hii fedhea ambayo ni ngumu kuisahau alooo.
Nakumbuka siku...
NIPO Zanzibar, nimeshangazwa na hotel zimechangamaka kwenye hii sikuku kwa kweli wakristo mnajitahidi kusherehe, sikuku ya idd sikuona kundi kubwa la watu kuja zanzibar vacation ila xmass,new...
Natafuta pesa kwa bidii ila nachokipenda kwenye maisha yangu hata nikipata pesa sitotumia na wengi sababu kwa week pekee napokea simu ya baba yangu tu hakuna usumbufu
Wapendwa wananangu,
Leo, nimesurubiwa. Hivyo, msiposikia toka kwangu, ngojeni hadi nitakapofufuka soon.
Hilo ndilo neno la 'Mungu' jamaa alisurubiwa, akafa, akazikwa na kufufuka. Yuko wapi...
Tangu ijumaa Iran ilivyobahatisha kuidungua ndege ya kivita ya Marekani na rubani ku eject kimsboy na Webabu waliibuka mafichoni na kuanza kuposti propaganda mfulululizo.
Ila leo kimya baada ya...
Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake,
Anapenda...
Wakuu salamu popote mlipo, pia poleni na heka heka za kila siku maana kwa ground mambo ni magumu sana, tuendelee kujitafta.
Nirudi kwenye key, kwa ufupi sana:......
"wewe legendary kama uliweza...
Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia
Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo
All in all sita wafundisha vyote sawa 😄
Happy Easter Day...
Nchi za mashariki mwa bara la Asia kuna falsafa ya kale sana wanayoiamini kuhusiana na muunganiko na mahusiano ya binadamu. Falsafa hii inaitwa Red String Of Fate (Yīnyuán hóngxiàn).
Kwamba, kuna...
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so...
Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.
Ninaomba...
Ali alipata kidosho kupitia Facebook.
Baada ya mazungumzo, walipanga kukutana katika hoteli. Ali, akiwa na shilingi elfu 20, alimlipia msichana teksi shilingi elfu 6.
Hotelini, msichana aliagiza...
Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home.
Ilikuwa kicheko na masikitiko.
Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa...
Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?