Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh.
Man nilipata moto wa...
Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia?
Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe...
Mkitoka church njooni mle nyama ya Mbuzi na bia, kama mmefunga njooni mnunue nyama za mbuzi za kula na familia jioni.
Wale makobe kama mimi tukutane hapa
Uzi tayari,
Nawasilisha.
Wengi wetu upenda kusema nikifikia hatua fulani ya maisha hakika nitafurahi, lakini ukumbuke siku hiyo hauijui, wala majira yake hauyajui na kwa kufanya hivyo hauwezi kuwa na furaha iliyo kamili...
Mida ya kusogelea viwanja unakaribia kufika. Mwanaume bila kuwa na ubavu wake wa kushoto, mapumziko huwa hayaendi vizuri.
Mida ya jioni, ndio huwa mida mizuri ya mitoko kwa wanawake pamoja na...
Mambo vipi wana MMU, baada ya mishe mishe za kutwa nzima tufurahi na kucheka wote tuongeze siku za kuishi,
Imagine upo town kwenye harakati zako ndani ya gari yako IST unaelekea kwako mara paap...
Leo mida flani nilikua kazini ghafla nikaskia haja yani hadi nikahisi naweza Jinyea leo
Nikakimbia choo cha ofisini RRRRR nasukuma ndani mtu akakohoa
Nikasema leo ndio leo Nafwaaa
Haya toka...
Ukizungumzia hii siku basi unazungumzia, siku ya kuwafanyia vibweka watu na vituko mbalimbali.
Huadhimishwa tarehe moja April , kwa kufanya mzaha au kituko chochote mbele ya mtu au kumlaghai juu...
Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda ,
Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume,
Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile...
Baada ya kutoa dukuduku ya Uwezekano wa JF kugeuzwa kuwa chama cha siasa, mitafaruku yaanza kuonekana katika baadhi ya wana JF hao.
Baadhi ya wakereketwa wamesikika wakisema wanajitoa mhanga kwa...
Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.