JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naelekea Jiji la DAR japo ndipo nilipozaliwa na nilipokulia naenda kukutana na vituko vya mji na purukushani za hapa na pale. Dar kila mtu ni kujiona kafanikiwa japo unakufa na tai shingoni muda...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako 1. Waganga wa kupata likes nyingi 2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa 3. Waganga wa kupata pisi kali ma-...
6 Reactions
43 Replies
9K Views
Ukiona thread hii au mtu wa karibu naye anisaidie sana. Asante.
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Namshukuru Muumba kwa kunifikisha kutimiza mwaka mwengine tena wa kusherehekea kuongeza umri niloishi hapa duniani nikiwa na siha na afya njema, kwani ni Muumba pekee ndio muweza wa kila kitu...
10 Reactions
106 Replies
10K Views
Kwa mfano Mimi muanzisha Uzi mchangiaji wa kwanza atakayeni"quote" mchangiaji wa pili atatakiwa ku comment Kwa kuunganisha jina langu na la Yule mchangiaji wa Kwanza, and the game continues, let's...
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Yani tumetoka kusuluhishwa ukweni suala langu la kuchepuka ila tunarudi nyumbani tunawasha TV tu tunakuta tamthilia halafu mwanaume ana wanawake wawili na ana mtoto nje halafu mke wake hajui. Yani...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nadhani tumeshaelewana sasa Wewe njoo Kwangu kwa Mazoea ya Kutizama Taarifa za Habari utaishia Mlangoni.
5 Reactions
8 Replies
730 Views
NDUGU ZANGU... Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya)...
6 Reactions
18 Replies
47K Views
Wakuu kuna demu wangu tumeachana ni pisi Kali tulidumu kwenye mahusiano kwa wiki 2. Sasa naona amezidisha kunipiga majungu status kila kukicha. Japo yeye ndio alieniacha Nimfanyaje?
1 Reactions
6 Replies
772 Views
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone. UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo? Unachelewa kuoa au kuolewa ndivyo utavyopata matokeo hasi ukishapata ndoa. 1. Utaanza kuhisi kilakitu afanyacho mkeo/mmeo anakosea sababu ulishazoea tuvisheria twako. 2. Kubughuziwa(to...
17 Reactions
235 Replies
7K Views
Mimi niliibiwa k7 nilinunua mpyaaa baada ya kula mkeka natoka zangu kazini kwenda stand hapo Mohamedy Mwanza ile kunyanyua tu mguu kuingia kwenye gari nakutana na jamaa nae anashuka nilivyompisha...
16 Reactions
101 Replies
8K Views
Ata ukiweka kidole cha mdogo wako lock inatoka eti wanadai kuwa dam ni nzito kuliko maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Juzi juzi tu niliwasili mkoani Mwanza usiku sana nikitokea mkoa fulani. Nikasema isiwe kesi ngojea nikapumzike kabla asubuhi sijakwenda uko nilipotaka kufika. Kweli nikapata guest moja karibu na...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbauda, Kwamromboo-Arusha... Mashati-rombo... Matejoo-Arusha... Tupia lako
9 Reactions
1K Replies
279K Views
Huu mwezi una nguvu kubwa sana katika maisha ya viumbe hapa duniani. Na hasa unapokuwa full/ mzima kama ulivyo sasa mpaka binadamu hushawishiwa na nguvu zake. Mwanamke hakika huu mwezi ikiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini Ukienda Pub, Lounge au Bar kama hutumii kilevi wahudumu wanakuona kama Takataka? Ina maana sisi tusiotumia Vilevi hatutakiwi kupata refreshment.
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna watu sijui hatuna hoja zenye nguvu au ni gundu, kila uzi unakosa wachangiaji [emoji1787][emoji1787] Hopefully hata huu utabuma tu.
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…