Finger print za techno bhanaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Finger print za techno bhanaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kwani uongo?
 
Tecno ni uchafu mkuu......Siku nliiweka mfukoni ilikua haija-sleep, asee yaani nlikuta imetuma picha watsap, msg za kawaida na imejipigaa daaaaah sitasahau siku hiyo
 
Mimi nakumbuka ilituma yenyew kwa MTU nae mdai et "nimekusamehe saba Mara sabini maisha mwema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚"
Tecno ni uchafu mkuu......Siku nliiweka mfukoni ilikua haija-sleep, asee yaani nlikuta imetuma picha watsap, msg za kawaida na imejipigaa daaaaah sitasahau siku hiyo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kweliii
Katekino kangu bhana ikiacha tabia screenshot iyo siku nitafurahi kwakweli,
Unakuta nimeweka mfukoni basi inajipiga picha kwenye wallpaper kama zote inapenda kujiself hii simu daaah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kweli tecno mkombozi
Katekino kangu bhana ikiacha tabia screenshot iyo siku nitafurahi kwakweli,
Unakuta nimeweka mfukoni basi inajipiga picha kwenye wallpaper kama zote inapenda kujiself hii simu daaah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii nimeiona sana kama miezi miwili iliopita, zamani sana
 
Back
Top Bottom