Habari wakuu..huu uzi ni maalum kwa ajili ya kutabiri/kubashiri mambo au matukio yatakayotokea nchini na duniani kwa ujumla..ni kwa ajili ya burudani tu na kupima nguvu/bahati/kipawa ulichonacho...
1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua...
Swali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi?
Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda...
Maisha ili yawe marahisi inabidi watu wakat mwingine tujifurahishe na kujiona tunacho hata kama hatuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ninafsi huwa najiuliza sana weekend mtu...
Shukrani nying sana ziende kwa Allah na Wazazi wangu ,leo tarehe 05/June 2022 nimetimiza umri wa miaka 25.
Sasa nita focus kwenye uwekezaji wa biashara tu.
Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu,mama mkwe,na baba mkwe kwa kufanikisha wewe kuja duniani,naamini ulikuja kwa ajili yangu.Wewe ndo umekuwa siri yangu,wewe ndo kila kitu kwangu..najua nimewahi...
Habari wakuu,
Naombeni kuuliza leo nimeota nipo mtaani kwangu nikawa naruka kama ndege lakini sina mabawa naruka huku nimesimama wima, nazunguka zunguka mtaani kila kona napita nakutana na watu...
Hello fellows,.
It has been a while
Natumai walio hai hamjambo na waliotangulia mbele ya haki Mungu awapeleke wanapostahili.
Tuko pamoja jamvini.
Wagala walioniombea dua mbaya nimewasamehe bure...
thread hii lengo lake ni Ili wajijue wale ambao kwa makusudi au kwa bahati mbaya hamtakwenda mbinguni kule ambapo waadilifu wameahidiwa ahadi kubwa kuliko zote na yenye thamani.na kwa sababu...
Let this new year of your life be more beautiful and full of achievements and fun. May you enjoy new opportunities and experiences as you take another step in your life.
Happy birthday dearest.
Heri ya siku yako ya kuzaliwa rafiki.....
Mungu akupe hitaji la moyo wako na akupe maisha marefu zaidi.... Sijutii kukufahamu umekua rafiki, na mshauri mwema kwangu...... Nakuombea siku zote uwe...
TUJIFUNZE KUTUNZA SIRI
KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi;
Mteja: Samahani, naomba kujua...
Any way awali ya yote nahitaji mtu yeyote mwenye namba za mganga anisaidie nina shida nae
Ishu inaanza kuna jamaa yangu mmoja hadi hapa tunapoongea anaumwa vibaya sana, huyo jamaa alikua na tabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.