JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu kwanza mimi siyo mlevi, Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi. Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi. Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi. Walevi wa pombe, bangi n.k...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
Kuna mjadala ambao sijawahi kupata jibu la uhakika. Inasemekana kuna kabila na wamasai na kuna kabila la Waarusha. Je, ukweli ni upi kwa wanaofahamu.
0 Reactions
34 Replies
13K Views
Kama unamatatizo na unaona aibu kusema kwa Ndugu yako na kumueleza ukweli, jua basi huna matatizo wewe, hujakutwa na Matatizo bado.
0 Reactions
6 Replies
533 Views
Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!! Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Kwa ufupi hakuna pesa nzuri kama ya kwako binafsi, najua starehe inahitaji pesa ila ukiwa ukiwa na pesa yako mkononi mambo yote safi..
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nasikia kumbe aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama alikuwa Shoga ( Gay ) ila kumbe yule tuliyekuwa tunadhani ni Mkewe Michelle Obama hakuwa Mwanamke bali alikuwa ni Mwanaume na inasemekana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hill ndio swali langu mwenye kuweza kutoa majibu afanye hivyo. Msinulize maswali please.
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Asalam aleykum ..wakuu Natumain nyote kwa ujumla wazimaa na kam kuna ambae anaumwa M/Mungu amponyeshe🙏 Nilikuwa na maswali mawili najiuliza sana na sipati majibu kwa kweli nimeona niwaulize...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuwe tunakutana siku zote za mechi kali Tudiscuss mambo mengine tofauti na mpira,Sio lazima wote tuwe mashabiki au mnaonaje jamani....We kama Shabiki wa mpira huu Uzi upite ukiwa umesimama...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
WATANIKUMBUKA SANA Hivi nipo njiani narudi zangu jijini Dar es Salaam natoka mjini Mwanza ambako nimekaa kwa kipindi cha mwezi mzima Hotelini. Mwanza nilikuwa kikazi na katika kipindi chote hicho...
2 Reactions
4 Replies
606 Views
Eti tunamchanganya Mungu
0 Reactions
4 Replies
563 Views
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana. Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Huyu demu/changu alikuwa mzuri kweli kweli, akikaa Mbagala japo sina hakika kama alikuwa anajua uzuri wake. Alishanigandishaa huyu manzie nikisubiri jamaa limalize nipige kumbe jamaa kachukua...
10 Reactions
125 Replies
26K Views
Uhuru umepita kiwango Hivi maji kutoka kwenye mabomba bila kukatika ni kuzidisha uhuru kwa wananchi hii haikubaliki. Lazima mgao uwepo na watu wakatafute maji huko mitaani. Mambo ya kudekadeka...
0 Reactions
5 Replies
570 Views
Habali wakuu, Wale wazee wakuponda kila kitu muipotezee tuu hii threads jana bana nikaamua kwenda bmax lounge nikiwa na staff wenzangu watano wa ofisini Sasa bana maisha haya sometimes tukiwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Gigy kipenzi nicheki kwenye email stefanokiva@gmail.com I need to meet you in private Nicheki in private my email is stefanokiva@gmail.com Just send me contact
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwangu mimi huyu ndio madam makini zaidi hapa JF, Na ndio mtu niliemfuatilia zaidi hata kabla ya kuwa member rasmi hapa Jf mwaka huu. Ninamkubali sana ,ni mwqnamke makini, na hekima sana ,,hata...
11 Reactions
47 Replies
3K Views
Kamwe, mwanamke ambaye hajatokea kukupenda ama ambaye hujamvutia, hawezi kukupatia namba yake ya simu, anapokupatia anasubiri utayari wako tu kama utamuhitaji kimapenzi zaidi!", ilikuwa ni sauti...
4 Reactions
51 Replies
11K Views
Back
Top Bottom