#FBF ... Flash Back Friday

YGM

Senior Member
Jul 27, 2019
193
159
#FBF ... Flash Back Friday; Enzi za kale nikitoka shule nakimbilia Home kucheki katuni via DSTV, ambapo channel za katuni zilikuwa: K-TV [GoTV] (300), Cartoon Network (301), Boomerang (302), Disney Channel (303), Disney XD (304), Nickelodeon (305), Cbeebies (306), KidsCo (308) na Disney Jr (309). Nilikuwa nipo obsessed kinoma na katuni kama 'Ed, Edd n Eddy', 'Courage The Cowardly Dog', 'Flinstones', 'American Dragon', 'Jimmy Neutron' etc.
  • Je, unakumbuka enzi hizo?
  • Je, Ulipendelea channel gani ya Katuni?
  • Je, Katuni gani ulipenda kuiangalia sana?
    1590px-Boomerang-Logo.svg.png
    2010_Disney_Channel_logo.svg.png
    NickelodeonLogo85-09.png
    Cartoon_Network_extended_logo_2010.svg.png
 
Mm bhna mwaka 2008 ilikua nkirud shule mida ya 10 au 9 nadhaNi nlkua naangalia chanel 10 cartoon kali eddie n edie, kuna john bravo ,ben ten na nyingine ila eddie n edie ndo nlkua naipenda saN
 
Mm bhna mwaka 2008 ilikua nkirud shule mida ya 10 au 9 nadhaNi nlkua naangalia chanel 10 cartoon kali eddie n edie, kuna john bravo ,ben ten na nyingine ila eddie n edie ndo nlkua naipenda saN
Amini Blood, enzi zile hauniambii kitu
 
Tangu nikiwa mdg kwenye tv ilikuwa ni mpira na miziki tu hadi maza anamind kila akinikuta dogo natazama vichupi tu 😂
Upande wa katuni nilikuwa napenda kuchora kuliko kuangalia
 
Back
Top Bottom