Wahenga wanasema hivo ulivyo ni jamaii imetaka uwe hivyo, so chunga sana mazingira yanaweza kukutengeneza ama kukuharibu, kifikira muonekano hata tabia.
Yaani siku hizi bwana wanawake wamekuwa kama wanaume na wanaume wamekuwa kama wanawake
Yaani wanawake wa siku hizi bwana wanajiamini kuliko hata wanaume wa Dar.
Unafikiri ukimpa mimba ndo...
Mzuka Wanajamvi!
Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani...
Wana-JF wa Arusha,
Wababa :Enda-Subhai!
Wamama :Endakwenya!
Wote :Subhati Ngerai, habari-ya-Ngaji?..Engai Engoitoi!...poleni sana!
Wapendwa,
Nia yangu si ubaguzi wa Makabila au maeneo, lakini kama...
Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum
1. Kichwa kichafu
2.mpwayungu
3. Wa stendi
4. Bujbuji
5. Prakatatumba
6. To yeye
Hayo majina ya ukoo au?
Hakuna aliye mkamilifu hapa chini ya jua! Hivyo binadamu wote tu wadhaifu. Vitabu vya dini vunatuhasa kusamehe saba mara sabini ili mioyo yetu isiwe na kinyongo tena
Huu ni uzi maalumu kwa ajili...
Zifuatazo ni dalili za mwanaume shoga.
1.Anapenda kuvaa heleni
2.Anapenda kujichubua
Ukijiona unapenda moja au mawili hapo juu jua unakoilekea ni ushogani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili.
Mimi wa kukataliwa na shetani kabisa
Yaani hii ni hatari, msomaji kuna...
1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote.
2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako.
3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako.
4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa...
Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
Kwa chuki iliyo dhahiri kwa CCM kutokea kwa wananchi wa maeneo niliyoyataja hapo juu hakika ni wazi CCM haina chake.
Tunduma kwa mfano, ukiitaja CCM na Rais wake kwa wema jiandae kutukanwa ama...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka...
Nilipokuwa mdogo nilijua duka likifungwa mtu anashusha vitu vyote kwenye shelves anaweka chini.
Nilipokuwa mdogo nilijua TV ikiwa inaongea ikatokea umeme umekatika inaendelea palepale ilipoishia...