JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Utani wa Ngumi huu.
1 Reactions
1 Replies
682 Views
Si vibaya mtu ukikumbuka ulipotoka. Nakumbuka siku ya kwanza kukanyaga Pugu ilikuwa tarehe 5 mwezi februari. ilikuwa ni siku ya mapumziko (public holiday), siku ya kuzaliwa CCM(Kwa miaka hiyo...
2 Reactions
57 Replies
14K Views
There is a Race, I must Run There is a Victory to be Won Give me Power, Every hour To be true, Ooh Lord #11YearsOfVictory #19thNevember2011
17 Reactions
85 Replies
5K Views
Sehemu ya kwanza Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019, kipindi hicho niko chuo mkoa wa Mbeya katika harakati zangu za hapa na pale. Mimi nilikuwa ni mtu wa kwenda sana klabu kupata mbili tatu za hapa...
1 Reactions
19 Replies
842 Views
1 Reactions
5 Replies
542 Views
Ni hivi kuna jamaa yangu mmoja kaja kunishauri ooh unajua kaka una matumizi mabaya ya fedha kwahiyo nakushauri uanze kuweka akiba ili ikusaidie baadaye. Mwanzo nikaona ana point ila nilivyo kaa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu wana JF nimeamua leo ni-rest in peace mapema, kwanini nimechukua uamuzi huu? Kwa sababu niliamka mapema sana, saa 11 asubui nikaenda mazoezini, halafu baadaye nikajiandaa kwenda kazini...
0 Reactions
54 Replies
3K Views
Mungu awatie nguvu
0 Reactions
2 Replies
480 Views
Aliyedesign haka kapicha aache kabisa kutuletea mambo yake, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Sema Mimi fresh tu wala sijali na hapa naita geto nichakate susumbu![emoji3][emoji3][emoji3]
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nisiwe msemaji sana, Picha inajitosheleza
0 Reactions
3 Replies
633 Views
naomba msaada wenu wanaJF
0 Reactions
57 Replies
15K Views
Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao. Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Salamu kwenu ndg wanaJF, Leo nimeona niwashirikishe baadhi ya dawa za mapenzi wanazozitoa waganga wa kienyeji ili manzi flani akukubalie kinapenzi. Utafiti huu niliufanya kwa mtaalam flani.Mteja...
0 Reactions
10 Replies
42K Views
Hello guys! Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Tuambie wanadada basi mwezi huu umeambiwa mara ngapi u mzuri? Tuambie😃🥰
2 Reactions
70 Replies
2K Views
Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo siyo zangu. Jamani siyo kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema. Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninayemuadithia anabakia kucheka tu. Leo jioni nikiwa natazama mpira huku nachezea...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Hii sijui tuseme ndiyo kwenda na mabadiliko ya teknolojia ama vipi, sasa hivi wadangaji wengi wanamiliki hizi line za lipa kwa M-Pesa, kwahiyo hata kama ukitaka kumla na huna pesa taslimu...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Tuko zetu (maeneo flani hivi) leo siku ya 9 bila kuoga! Kwakweli hii hali iko kibabe zaidi, japo sijaona tatizo lolote kutokana halii hii. Je wewe umeshakaa hata 3dys? kuna tatizo lolote ulipata...
0 Reactions
18 Replies
934 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…