Jana usiku nilikuwa zangu tu nipo kitandani nimelala, sasa mimi nilikuwa na exgteytion yangu mkononi, Mara nikasikia baba huyo mwanangu panda bus basi na treiont mimi nikajiuliza hivi huyu mimi au...
Mimi nimeona "gratitude" "money" "connection" na "health"
Tafuta hapa chini Kama una macho mazuri[emoji116][emoji116][emoji116]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
My wishes for you are not limited to just the next year but to all the years that you experience in your lifetime and in your reincarnations!
Have a fun-filled, smashing, rocking and happening New...
2023 mtaniambia mliyoyafanya kuufungua mwaka 2023, namaanisha mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje.
Naombeni mfungue mwaka kiutakatifu, mkiuchafua kwa shahawa zenu hizo basi mjiandae kuuanza...
Samia nimeona nikujibu huku mama.
Asante ujumbe wako nimepata, familia yangu imefurahi sana nimewasea ujumbe. Nachukua nafasi hii mimi na familia yangu kukutakia heri ya mwaka mpya pia karibu...
Jamani naweka booking, katika muda huo.
Nitaweka uzi wa kuwatakia heri ya mwaka mpya wanaJF wote. Pia nitaandika malengo yangu ya mwaka 2023.
Naweka booking ili mtu asije akaniwahi kuweka similar...
Mungu wao anataka waabudu wakoloni kama Mungu, wakati ni shetani tu atakaye kuabudiwa kama Mungu, na ni marafuku kutaka kufanya hivyo amri ya Mungu wa kweli yasema. Bonge la movie ya kichekesho ya...
Baada ya kufika Karagwe na kukaribishwa na warembo, leo nilimtembelea mzee mmoja ili kuchota busara zake maana mimi ni mkazi mpya.
Ushauri wake ulifanya niamini kuwa yule ni kijana wa hovyo aliye...
Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake.
Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu...
Wote tunajua jinsi wanawake wanapenda kusifiwa, lakini katika harakati zangu za kusaka maisha huku na kule nimegundua wanaume wengi wanapenda sifa zaidi, tena wakati mwingne wanatafuta sifa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.