Mnyamwanga toka msangano baada ya kufika dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyamwanga toka msangano baada ya kufika dar.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by dr chris, Jun 7, 2012.

 1. d

  dr chris Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanyamwanga ni kabila linalo linalopatkana ktk wilaya ya mboz na pia nch jilan zambia.wanakawaida ya kusafiri makundmakund kwenda kutembelea ndg wa mbali na hukaa hata mwez mzm.bac jamaa walienda dar wakafika na mwenyeji wao akawapokea ck moja wakiwa matembez bila mwnyj wao walianz kuhesabu magorofa kwa kshndana mnyha mmoja jilani na ndugu yao akawatambua na kuwaambia ni marufuku kuhesabu nyumb bila kulipia hivyo akawataka kila m2 atoe hesabu yake na kisha kulipa wa kwanza nyumba 5 wa pil 4 wa tatu 6 wa nne 8 bac kila m2 akalipa elf moja kwa kila nymba baada ya yuld mnyha kuondoka kila m2 akaanza kujdai jins alivyodanganya.mi nilkuwa nimehesabu ishlin nimemdangany nikalipa
   
 2. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda story yako japokua sijajua unawzungumzia akina nani hasa, je unawazungumzia Wanyiha au Wanyamwanga?

  Kuna sehemu unazungumzia wanyamwanga lakini as u go story inabadilika na kua ya wanyiha!

  Kama ulimaanisha wanyiha asante kwa Dongo! "Mnyiha pure Mimi!"
   
 3. d

  dr chris Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nazungumzia mnyamwanga halafu mnyiha anakuja kuhusika ktk kumchangamsha kwa kumdai ushuru.ndio hivyo sekuru unaweza uwe "mwizikuru' wangu kwani mie pia ni full mnyiha
   
 4. KML

  KML JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kawapatia kweli kweli
   
Loading...