JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Binafsi nimeandaa sherehe isiyo na kifani nyumbani kwangu[emoji122] Kwenye kamati ya msosi na vinywaji... Tayari nimekwisha nunua mbuzi mzima, mchele Kg 40, maharage Kg 15, choroko Kg 7,nimeandaa...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
MAISHA NA MAAJABU YAKE ✔Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone ✔Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme🙉🙉 ✔Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda🤓🤓 ✔Aliyegundua pesa alikufa na...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Kutokana na mwaka mpya kuanza wewe kama kijana umejipangaje?
0 Reactions
5 Replies
363 Views
Kausingiz kamekata,wewe je?
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari za kushinda wakulungwa! Hii January ni kiboko. Au mnaionaje nyie wenzangu. Maana sasa hivi ukikatisha mitaani na unajulikana unaweza kuitwa chemba hata mara 5 ndani ya masaa 2 ili upigwe...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani kuna watu wanakera sana yaani kuna watu maisha yao kutwa ni kukopa kopa ndiyo kukopa sikatai kuna vitu kukopa si ishu ila kuna kuna vitu vidogo vidogo navyo mnakopa? Eti pesa ya pombe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Enyi watu badilikeni basi inakuaje mpaka leo kuna watu wanatumia tecno? Kuna jamaa mmoja nimepishana nae njiani eti linatumia tecno aisee nilishikwa na kichefuchefu nusura nitapike yaani jinsi...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Hiki chuo cha Methodist Kenya kimejiwekea utaratibu wa mavazi kama wa Taliban.
1 Reactions
16 Replies
654 Views
Majira ya jioni nimetulia kwenye liquor store ya mwanangu tunapata kinywaji mdogo mdogo. Katikati ya story za mtaa, ghafla akatokea binti mmoja mzuri sana mrefu, maji ya kunde na hapo nyuma...
18 Reactions
51 Replies
5K Views
Mtu anayekula Bata ni mtu anayeishi Maisha yake bila kelele, anakula vizuri, Analala pazuri Na kipato chake ni constistence. Lakini hizi wanazoziita Bata za vijana ni Anasa, haiwezekani ule Bata...
3 Reactions
8 Replies
602 Views
Mimi binafsi Sijawahi kuvutiwa na mtandao wa twitter,instagram japo nina akaunt lakini sijui nimetumia lini mara ya mwisho Sijawahi kuvutiwa na tattoo za aina yoyote Sijawahi kuipenda timu ya...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
UKIWEKEWA NJIA MBILI 1. Njia ya kwenda pesa zilipo 2. Njia ya kwenda peponi WAPI UTAENDA? Dondosha comment
0 Reactions
7 Replies
345 Views
Kama mada inavyojieleza hapo juu Kuna Mambo tunayaona, Kipindi cha nyuma hapo miaka ya 2000 kurudi huko Karne ya 20 si rahisi ukute mwanamke ameanika chupi nje lakini siku hizi ni kawaida Sana...
0 Reactions
8 Replies
846 Views
Sio kila muda tuwe tunakuwa serious sana, acha tuburudike kidogo. - Kondoo anapigana na radi na radi inapigwa. - Radi itakupiga ukivaa nguo nyekundu.
18 Reactions
229 Replies
15K Views
Imezoeleka kwamba wanawake pekee ndo wanaotakiwa kujipendezesha na Kung'aa. Wanaume wengi wanapenda kujikeep wasafi na wanapenda kung'aa kama Ladies ( I mean kuwa na ngozi nyororo) lakini hawajui...
0 Reactions
41 Replies
113K Views
Ni ipi tabia ambayo unajua zaidi ni mbaya kwa watu lakini unaipenda na ngumu kuacha
11 Reactions
168 Replies
12K Views
Mipango ya uhakika ipo mezani
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Wajameni. Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo. Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali" Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ikiwa weekend ndio imeanza mi nimeona ni share hii mada, maana mi nnapo kunywa pombe hasa pale nnapifikisha chupa ya 12 hua naanza kuchukua namba za simu za warembo wanaokatiza mbele ya macho...
16 Reactions
992 Replies
45K Views
Back
Top Bottom