JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama lipo uliza Hapa watu wa kujibu[emoji847]
1 Reactions
62 Replies
2K Views
Hv kati ya kuacha lawama au alama bora lipi wakuu??
1 Reactions
3 Replies
464 Views
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA...
17 Reactions
540 Replies
24K Views
Watu Chechefu Serikali Chechefu Wananchi Chechefu Wanahabari Chechefu Nchi Chechefu Mamlaka Chechefu
2 Reactions
9 Replies
521 Views
Hi Dah nimekosa usingizi nahamu ya kuchat ujinga ujinga tu utani utan bas njoo tuchat hapa au pm lakin ukija pm heshima iwepo
1 Reactions
12 Replies
749 Views
Wakuuu shikamooo wakubwaaa!!! Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.
3 Reactions
74 Replies
8K Views
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.😂 Sio maneno yangu alisikika...
7 Reactions
123 Replies
4K Views
Msanii Konde boy Kila nyimbo lazima ajimwambafai na kiitikio cha "jeshii". Tukielekea pasaka nikaona niangalie filamu ya yesu iliyotafsiriwa kwa kiswahili. Kuna kipande Fulani yesu akiwa na...
2 Reactions
3 Replies
525 Views
Shukrani za dhati kwa Mwenyekiti cha wasiliti bwana Yuda kutuletea pasaka. Na kuanzisha mtindo wa usaliti.leo tuna mayuda wengi duniani kila Kona. Tumebakisha siku chache tumkumbuke Yuda maana...
1 Reactions
4 Replies
656 Views
Yaani unakuta mtalii tena mgeni yuko mbugani na mikamera yake alafu akikuta mnyama anaekula mnyama mwenzake kama fisi simba au chui anataka kula mnyama badala ya kumsaidia huyo mnyama anaeliwa...
2 Reactions
96 Replies
3K Views
Tupeni siri mliofanikiwa watu tunakufa kwa njaa huku mpaka 10,000 inatushinda kupata 😭😭😭 twende wapi kuomba omba kwa mwanaume haiwezekani.
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa wale wenzangu na mie ambao siku haiwezi kupita hasa kipindi hiki cha joto bila kushusha kinywaji baridiii hebu tukutane hapa tupeane mikakati na mbinu za kuendelea ku enjoy hiki kinywaji...
15 Reactions
94 Replies
20K Views
Sabato njema. Sitaki porojo la kuandika maneno mengi, weka bundle wasikize mwenyewe. No. 1
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna. Bei...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Yani kifupi nikinywa kidogo najikuta napiga table hatari ...nikishika stiki basi naweza kuwabadilisha wachezaji hadi nikachoka Uzi tayari
1 Reactions
4 Replies
375 Views
Mke wangu amesafiri kwenda mbali mkoani, nipo na watoto peke yangu, sisi familia yetu hatuna wasaidizi na kwa kuwa maisha tulishaandaa yaaani tulishawekeza mila mwezi pesa inaingia ya matumizi...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋. Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
16 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF, Leo asubuhi tarehe 29/03 ni siku ya furaha kwangu kwa sababu kuu mbili. Kwanza kabisa ni siku ya kuzaliwa mke wangu mpendwa, ametimiza miaka 29🙂. Namtakia...
37 Reactions
163 Replies
7K Views
Back
Top Bottom