JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kwanini wanawake mnapodeki huwa mnafunga khanga, hata kwa wale ambao hamna mazoea kabisa ya kujifunga khanga? Nahitaji majibu sio maelezo.
2 Reactions
13 Replies
678 Views
Inawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?
0 Reactions
5 Replies
611 Views
Hivi ni lazima, mtu ukiwa na imani yako si inatosha?
1 Reactions
17 Replies
620 Views
Hellow Rafiki zangu wapendwa wangu niliwamic sana nilipewa ban nimefunguliwa leo nikaribisheni upya nipe story kwa ufupi kipindi sipo kilitokea nini? Nina furaha leo sana
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Jaribu hilo zoezi utagundua kitu. Sijui Kuna kauchawi gani!
0 Reactions
7 Replies
488 Views
Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo. Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku. Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu...
10 Reactions
91 Replies
5K Views
Kama utoi sadaka hauzikwi? Kweli nyumba za ibada ni kuzikana, Imani yako ndio itakayokuponya!
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndoto yangu ilikuwa nifikishe likes 1,000 kabla ya Pasaka ya mwaka 2023, hatimae leo nimefikia. Pongezi nyingi kwangu, sasa hii pasaka nitakula vizuri sababu nimetimiza lengo langu kuu hapa JF...
16 Reactions
45 Replies
2K Views
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK...
32 Reactions
117 Replies
7K Views
  • Closed
Za usiku wapendwa Nimegundua humu ndani watu hawana uvumilivu kabisa hususani na hizi ban zinazoendelea😄 Antonnia kapigwa ban hata sijategemea
29 Reactions
539 Replies
30K Views
Jf member wote nawatakia kheri ya sikukuuu ya pasaka karibu nyumbani ila ukija uje na nauli yako na hela ya soda Nawatakia watu wangu wa nguvu kheri na furaha tele Punguani Gily mrembo Lenie...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
11 Reactions
69 Replies
5K Views
Waislamu tukae pembeni kidogo Leo ni siku ya Ijumaa kuu, tukumbushane vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Rais mwenzako sifi Leo ndo napita Ikulu zote mbili yaani Magogoni, na apo DODOMA nikiwa na Ungo wa Babu ila nikwambie ukweli ndio maana nchi inaibiwa. Inakuaje muda huu ikulu muda huu hakuna...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
WABONGO TUNAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO HAPO............... DAR bwana Tunagawana majukumu tuu "Wizi" MBAGALA "umbea" MWANANYAMALA "mapenzi" KIGAMBON "vibaka"...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Nafurahi leo mtani wangu kikabila GENTAMYCINE ameweza kunitumia zawadi, maana baada ya ushindi wa JamiiForums majuzi, nilimuomba walau akipata zawadi anitumie kidogo. Sasa kisa kinaanza...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Niliitoa sehemu, JF tycoon mmoja anunue. Naomba mnunue jamani ntie wanaume tafadhali
4 Reactions
26 Replies
1K Views
African dont sleep wake up Tuanze hii challenge una andika namba mbili za mwisho wa mwaka wako wa kuzaliwa mpaka umapate mdogo wako au kaka yako au dada yako au mchumba wako Naanza mimi 06...
4 Reactions
80 Replies
3K Views
Mtalii na mtafsiri wake bongo hotelini. Mtalii: Do you have vegetables here. Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa. Waiter: Vijimeza vidogo hatuna. Mtafsiri: No sir, they don't have. Mtalii: OK, fine, do...
2 Reactions
5 Replies
519 Views
Back
Top Bottom