JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwema Wakuu! Ninafuraha kubwa katika siku hii ya leo. Hii ndio siku ambayo nilizaliwa. Ndimi Taikon wa Fasihi, Mnyanyembe wa Tabora. Nawashukuru wote mliokuwa baraka kwangu, lakini pia...
28 Reactions
176 Replies
5K Views
Nipigie Basi mpenzi, nimesubiri sana simu yako dia
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Nita Trend Kwa lipi? Just wait and see..
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Hey ni vyema mjue SABABU ambazo wanaume wa kabila la Kichaga walizonazo na uweze kuchukua tahadhali nao hata kama unataka kuishi nao angalia vipengele hivi: 1. Wanaume wa kichaga ni wepesi...
1 Reactions
26 Replies
15K Views
Habarini wadau wa humu. Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha? TIRIRIKENI WADAU hapa. Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito. Wasalamu Ladyf
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa...
17 Reactions
685 Replies
61K Views
Safari yangu ilinzia Lindi , Dar, Moro, Dodoma now nipo Tabora natalajia jion hii niende Nzega,but sina uzoefu SANA na Nzega napenda nijue eneo la kula lorge nzuri na watoto wabichi. Asanten.
0 Reactions
8 Replies
521 Views
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe "Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda." Tafakari ya babu... "Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Habarini za muda huu wakuu, Leo nimeona tuzungumze jambo moja hasa kwa sisi WANAUME. Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya sisi kujadili "mambo yetu" kwa lengo la kufundishana, kuhabarishana...
8 Reactions
72 Replies
7K Views
Mtoto mmoja aliibiwa Baiskeli yake akaenda Police, akaulizwa unahisi ni nani aliekuibia? Mtoto akajibu: = Nahisi ni WAZAZI wangu, Police wakamuuliza kwanini unawashuku? Akajibu: = Jana usiku...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Njoo wasomi wa chitchat
4 Reactions
5 Replies
770 Views
Wadau hebu tupeane A ,B C za ma ex wetu
2 Reactions
11 Replies
964 Views
Kwenye hii chemsha bongo...uzoefu wako wa mapoz ya wachezaji mbalimvbali..taja uliyemtambua
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Vijana bhn yaani anatoka kwao ushaagoo kule ndani ndani anakuja Masaki anashangaa zile nyumba anaona kama kafika New York city 😂😂😂 Aisee ushamba mzgo Wanashangaa vijana wadogo wenye magari makali...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Huyu mchoma Mahindi mwenye bunduki anapatikana kijiwe gani? Niko njiani naenda Dodoma nataka nimpitie aniuzie muhindi choma moja. Zicomedy Show
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi sina noma na huyu mzee, lakini bwana father kazidisha kwakweli. Yeye hakuna meme au video ya kuchekesha inampita lazima ataiweka status tu, yaani hadi sometimes watu wangu wa karibu wenye...
31 Reactions
77 Replies
5K Views
Ramadhan kareem Kwanini Mtu ukinyoa sharubu sura inabadilika na unazeeka ghafla? Hii imekaaje?
1 Reactions
3 Replies
647 Views
1. Key holder ya JamiiForums 2. Handbook ya JamiiForums 3. Cello Pen ya JamiiForums 4. Flyer ya JamiiForums 5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka...
9 Reactions
15 Replies
909 Views
Good morning! Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni...
17 Reactions
86 Replies
4K Views
Back
Top Bottom