Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana .
Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea...
Je, mnakumbuka wakati ule ukitaka kujua saa ngapi, unanyanyua simu yako na kuzungusha number na kusikia sauti ikikujibu "Usikiapo mlio wa tingo, hii ni saa fulani dakila fulani na sekunde fulani"...
Wadada, msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu...
• Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha.
• Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo.
• We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda...
Natafta mchumba [emoji23]
Au Basi natafta HELA wanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What will you do? If you notice the breath you...
Kipindi cha siku, Mwezi au mwaka kwa bindamu mkamilifu ni muda mrefu sana wa maisha yake.
Mtoto wangu leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake.
Mapito ya magonjwa, na kama binadamu...
Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia.
Eti dada samahani, eti kwa...
habari zenu wadau.
najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi
tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha...
Wazee wenzangu habarini na amani iwatawale
Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa.
Mzee Tupatupa
Ritz
Mwanakijiji
Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa...
Kwema Ndugu zangu,
Yani unaweza kumeet na mtu au watu ambao wamekuzidi kila kitu, lakini wakaamua kukuchukia tu bila hata sababu yeyote.
Hata ukujitahidi kuwa tendea mema kwà HEKIMA, BUSARA...
Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani.
Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi.
Maagizo yalisema...
Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafuta kazi nko jobless mambo hayaendi, nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano...