Zitunze Dharau zao kuna siku watazihitaji so itakusaidia

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Jan 25, 2023
140
188
Mungu fundi bhana.. Tumbo lingekuwa na kioo tungeona mengi 😁viazi, magimbi vitumbua n.k ila akajua akili zetu na tabia zetu. Ule baga au magimbi wote tunaishi.. unyama sana yaani.

[ ] Ushajenga nyumba yanini ukae nje? Ili watu wakuone kuwa nyumba yako😁
[ ] Umenunua gari ila ukaona ufungue kioo wakuone kuwa mwenye gari wewe 😁
[ ] Umekula baga wote sawa na aliyekula magimbi wote safari moko 😁
Usijitape sana... #LifeSGoingGone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom