Hatuwezi mlipa Wala muhonga Mungu ili atujibu hitaji za mioyo yetu.
Asubuhi hii ya leo lila mwana JF aombe Sala hii.
"MUNGU wa mbinguni asanteh kwa wema na neema zako, licha ya kuwa sisi ni...
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah, lakini Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa nina pesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu...
Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga.
Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa.
Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili.
Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka.
Mwanza...
Unajua ukizoea vidada vinavonata sana alafu ukiwa na kipesa kidogo cha kubadilisha totoz basi unaona sawa tu kuharibu laki kulipia kiwanja tuu kwa ajili ya pambano.
Nimegundua huku kwenye Lodge...
Kama habari inavyojieleza natafuta Mke wa kuoa, nimekuwa busy na kazi nakosa muda wa ku-mingle na kutongoza, na wengi ninaokutana nao wanawapenzi wao na wengine wameolewa. Sasa mimi nataka wa...
Wenyewe habarini za mchana ,this thread pls tuelezee matukio ya kutisha ambayo wewe binafsi umeshawahi kukutana nayo dunia hii kwenye kuishi kwako, mimi binafsi sitosahau siku moja nilikua...
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu...
Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa, je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala...
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.
Kwa Taarifa yako
1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri...
Unajua hapa duniani watu wanajionaga wajanja sana, ila hamna lolote.
Piga picha upo kwa nani, hii dunia ni yako? Unakula tu, unafakamia tu na kuponda vistarehe vyako, and then baade unaanza...
Mimi naishi na dogo langu la kiume kigeto geto, sasa shida ni kwamba, itokee siku yeyote tupike chakula kizuri sana lazima itokee kasheshe yeyote ile nisikile hicho chakula. Either nitatoka na...
"Wanaume mnashauriwa mnapotubusu alafu mkashuka kusini kutula, tunaomba msipande juu kutubusu maana mnakuja na harufu kali.
Binadamu akila msosi husubiria nusu saa ndio anywe maji..
Muwe na...
Wakuu huu Uzi ni kwa ajili ya kushare different stories ya umbandu mbandu uliokutokea sikukuu pendwa ya wajinga ..kwangu Mimi siji sahau siku ambayo swalehe alikuja kuniamsha kwamba nje kuna simba...
Leo katika pita pita zangu maeneno ya kanisania nikakutana na rafkiangu nilikua nae wakati tupo wadogo
Kattika kuongea ongea nae muda mrefu akaniambia ya moyoni,,, eh mie nae nina kismati kila...