Naachana na Hotel rasmi, sasa ni mwendo wa lodge

officialBossmtoto

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
369
1,178
Unajua ukizoea vidada vinavonata sana alafu ukiwa na kipesa kidogo cha kubadilisha totoz basi unaona sawa tu kuharibu laki kulipia kiwanja tuu kwa ajili ya pambano.

Nimegundua huku kwenye Lodge kuna raha zaidi aisee. Kwanza chumba kidogo binti anakua hana purukushani nyingi maana vidada kwenye mtandaoo viuno vingi vikifika chumbani ukichomeka anatoka anakimbia kupumzika

Pili mazingira yanakua sio rafiki sana kwa hawa warembo kwa hio muda wa kupiga picha unakua hamna, yaani ni kazi kazi jasho mpaka kwenye meno.

Zinakuaga kwenye mitaa iliojificha kidogo, wale wasio na usafiri, unatembea kama unachati ghafla umepotea kumbe ndo ushazama ndani tena

Hakunaga restaurant wala shangazi yake pub. Ukimaliza kula mzigo kila mtu anarudi alipotok mambo ya tukae tupate burudani hamna hapoo.

Kwenye haya maelezo nimependa sana kipengele cha kwanza. ASANTE SANA KILI MARATHON MMENIJUZA KUMBE SIO LAZIMA NIENDE HOTELINI ILI NIINJOY MCHEZO.

Ila huyu dada safari nzima tangu tunatoka dar mpaka tunafika moshi anamwambia mpenzi wake anaenda msibani, na leo imebidi akahudhurie msiba asioujua ili apate picha za kumtumia mpenzi wake.
8a70513c-bb41-45aa-afc6-34ca236d3aa5.jpg
 
sisi wengine siku hizi ni mwendo wa safe house tu.

nina ki apartment changu cha single bedroom maeneo fulani hivi hapa town, nakilipia kodi kila mwezi.

tulishatoka huko kwenye hotel na lodges. mambo ya kupoteza laki moja, elfu 30 au elf 25 kulipia chumba cha hotel au cha lodge kwa kuspend masaa matatu au manne na demu ni matumizi mabaya ya pesa.

hapo bado hujampa nauli,maana haifai kwa mtoto wa kiume kupeana raha za kimwili na mtoto wa kike halafu baada ya hapo usimpe hela.
 
sisi wengine siku hizi ni mwendo wa safe house tu.nina ki apartment changu cha single bed room, kipo maeneo fulani hivi hapa town, nakilipia kodi kila mwezi.

tulishatoka huko kwenye hotel na lodges. mambo ya kupoteza laki moja, elfu 30 au elf 25 kulipia chumba cha hotel au cha lodge kwa kuspend masaa matatu au manne na demu ni matumizi mabaya ya pesa.

hapo bado hujampa nauli,maana haifai kwa mtoto wa kiume kupeana raha za kimwili na mtoto wa kike halafu baada ya hapo usimpe hela.

Hili la muhimu
 
sisi wengine siku hizi ni mwendo wa safe house tu.

nina ki apartment changu cha single bedroom maeneo fulani hivi hapa town, nakilipia kodi kila mwezi.

tulishatoka huko kwenye hotel na lodges. mambo ya kupoteza laki moja, elfu 30 au elf 25 kulipia chumba cha hotel au cha lodge kwa kuspend masaa matatu au manne na demu ni matumizi mabaya ya pesa.

hapo bado hujampa nauli,maana haifai kwa mtoto wa kiume kupeana raha za kimwili na mtoto wa kike halafu baada ya hapo usimpe hela.
Na mm nataka mwezi ujao niifanye hii,uhakika sana
 
Hiki chama cha mabaharia naona kirudishwe kiwe hai maraMoja maan wengi wamejisahau na kuanza ku left/ku reftishwa

Na wazo la kuanzisha Ant Gays-society hii wadau litakuwa poA
 
Miye nimeipenda tu hapa:
Kumbe inapunguza matumizi yasiyo ya lazima,Asante mkuu Kwa hii shule:

" kwenye mitaa iliojificha kidogo, wale wasio na usafiri, unatembea kama unachati ghafla umepotea kumbe ndo ushazama ndani tena
emoji13.png

Hakunaga restaurant wala shangazi yake pub. Ukimaliza kula mzigo kila mtu anarudi alipotok
emoji3.png
mambo ya tukae tupate burudani hamna hapoo."
 
Back
Top Bottom