Just imangine wewe ni kijana wa miaka chini ya 30, hujaoa na una kazi nzuri tena unafanyia posta Dar es Salaam. Mshahara ni take home kama 2M hivi na unakaa either sinza or kigamboni.
Maisha haya...
Mjuavyo tena, leo ndio siku ya wapendanao; msiponiona humu kuanzia saa nne na kuendelea, mjue nimeenda kujumuika na upande wangu wa kushoto(Hawa) katika kuburudika katika hii sikukuu ya...
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line...
Ukiingia kwenye JF Web Analysis utakutana na zaidi ya members zaidi ya laki 8, zaidi ya Post 8m na Guest 6m. Cha ajabu, huwa sifumanii mwana JF akiwa JF
Nimeishia kuona Guests wakiwa kwenye vituo...
Kitambo sijakuwepo jukwaani.
Nmewamiss sana nikisema nianze kutaja mmoja mmoja sitamaliza. Hivi mnajua ushauri wenu uliniamsha usingizini nikaachana na yale mahusiano sugu.
2024 ni mwaka mzuri...
Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume.
Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi...
Tofauti na Hapa Africa ambapo Misibani wanaenda kujitafutia Sifa, Umaarufu, mbwembwe na hata kulogana
Nawatakieni Jumatano ya Majivu Yenye Baraka
Rip Edward Lowasa
Mpwayungu
Kwa wenyeji wa Tarafa ya Mpwayungu, leo nipo hapa kwa masaa sita hivi, Kijiji ni kitulivu siyo mbaya, leo hali ya hewa siyo mbaya kabisa maana najua wazi kabisa kua, viunga vya Dodoma...
Habarini za jioni wakuu..
Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa,
Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata...