Enzi hizo ukienda Rungwe Oceanic Beach Resort ya Mzee Mwakitwange ulikuwa unakuitana na majina kama vile DJ Ngomely, DJ Pop Juice na wengine. Ukiosea jirani na hapo Rungwe, yaani Silver Sands...
nilipokuwa form two,kuna mshikaji wangu mmoja alipata kesi ya kumpa mimba msichana
kwa sisi wengine tulikuwa na wasiwasi mno jamaa atafanyaje,baada ya wiki jamaa akaja kutusimulia...
Maisha ni mwalimu mzuri.Kuna Ile tabia mtu anakaribia kumaliza chuo au anakuwa amemaliza kabisa chuo anakuwa anapanga kabisa kwamba Mimi nikienda mtaani sifanyi kazi chini ya hela kiasi Fulani...
What's app status ni kipengele moja wapo katika whats app kinacho ruhusu kupost maudhui mbali mbali na contact zako Ku view ; Je ni kitu gani cha kushangaza au kukuumiza...
Hi
Leo mchna nikiwa nimetulia kaja Jamaa mmoja hivi mpemba tunapiga story najua anafunga gafla anaomba nynya na kitunguu na chumvi akidai njaa nikampa baada ya muda nasikia anaomba mboga...
1. They can talk and chat openly even crack jokes with you on social media but in real life they are ice[emoji30]
2. They fit pass you for road simply because of their shyness[emoji2334]. They...
Salaam Wadau?
Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa...
Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho!
Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala...
Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi
Alipofika Kateshi akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo...
Habar
Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo
Wa “lavalava -habibi”
#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte
Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??[emoji23][emoji23]
Wadau hamjamboni nyote
Nawaletea maeneo yenye kitimoto nzuri sana maeneo ya Tegeta/ MbeziBeach/ Kunduchi
1. Family bar Tegeta mbele ya Azania bank
2. Skanska njia ya kwenda IPTL
3. Bushman pub...
Ijumaa nilimpokea mgeni, ambaye ni shangazi yake waifu. Ametoka mkoani na yupo hapa Dodoma akifuatilia mafao yake baada ya kustaafu. Hawa wenzetu askari hustaafu wakiwa na umri mdogo ukilinganisha...
Kama wewe
1. Unamuamini Mungu
2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki
3. Huna imani za kichawi na kishirikina
4. Sio mlevi wa pombe au sigara
5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa...
Mpambano huu uwe na nia ya kuburudika lakini pia kujifunza na kuongeza ufahamu kuhusu jamii ya kaliba moja lakini mazingira tofauti wanavyoweza kutofautiana makubwa
Ni mpambano wa wanawake wa Dar...