Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu mtandaoni. Kwa upande wako mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
Wadau hamjamboni nyote
Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala
Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu
Gharama zake za kutisha
Nimeweka...
Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu...
Kichwa cha Habari kinajitosheleza.
Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
1. Nilifaulu nipangiwa mkoa kilimanjaro, nyumba ya ubalozi niliofikia kulikua na mfanyakazi wa ndani anatokea Tanga, Kwakua sikuwa na uzoefu sana jinsi alivyojua ananionesha nikajua ananipenda...
Kitambi aka friji kinaninyemelea na umasikini wangu huu
Ndo kabisa nishapa gundu na sijui nitatoboaje, vipesa kidogo tu kitambo kinanisonga
Bilgate hana kitambi
Elon musk hana kitambi
Aliko...