Sharo alikuwa ndo kwaaaaaaanza kafanikiwa kupata mkoko wake mpya baada ya kutoa visingle vyake viwili witatu, akawa na hamu kweli aende nalo Leaders akawakoge masister duuuh nini...
Wakati...
Siku moja baba na mama na watoto wao wawili (kike na kiume) wakiwa kwenye chakula cha jioni, baba na mama wanabishana kuhusu nani kati yao ni muoga. Ndipo baba akaamua kuwashirikisha watoto ktk...
Unakuta Wazazi wanawachagulia Majina Watoto wao Then Watoto wakikua wanayabadili pengine kwa kutoyapenda ukilinganishwa na ya Watoto wenzao na kuna pindi huyabadilisha ili yapendeze n.k
Majina...
Heshima yenu wakuu. Kwa wiki sasa sipati matangazo ya tv baada ya dishi langu kupoteza chaneli. Sasa nina mpango wa kununua king'amuzi, lakini kabla ya kuingia huko naombeni ushauri kwa mnaotumia...
Ni mchana tulivu wa Jumapili hii, nimekumbuka mbali sana nikaamua tushee hii habari, kila nikiangalia vijana wa siku hizi wanaofanya miadi kwa simu naona kama vile wanamisi utamu fulani hivi...
hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa...
To my fellow mdau "Wakati ndiyo sasa"
If Charminglady she does not care why should you?
Don't keep fighting for someone who will not fight for you in return !
Life is too short mtu wangu ...
Jamani nimepigiwa simu na rafiki yangu anaye julikana kwa jina la wakati ndio sasa kanituma niwataalifu wanachitchat kuwa kuanzia leo amepigwa ban hadi tarahe 9 Sept hii imetokana na kuchangia kwa...
Its amazing who is Jesus?
In chemistry, he turned water to wine,
In biology he was born without the normal conception.
In physics, he disproved the law of gravity when he ascended into heaven...