Nani zaidi kati ya baba na mama:

Nani zaidi kati ya baba na mama:

dicksonleonard

New Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
4
Reaction score
1
Siku moja baba na mama na watoto wao wawili (kike na kiume) wakiwa kwenye chakula cha jioni, baba na mama wanabishana kuhusu nani kati yao ni muoga. Ndipo baba akaamua kuwashirikisha watoto ktk ubishi huo:
BABA: Eti mwanangu Paul, mimi na mamako nani muoga?
Paul: Mi naona mama ndo muoga zaidi kwani akiwa anaongea na simu, akisikia tu gari yako inakuja anakimbilia ndani
kuongelea chumbani.
Irine: Hapana mi naona baba ndo muoga zaidi, maana mama hukiwa umesafiri baba anaogopa kulala peke yake chumbani
anaenda kumchukuwa msichana wa huyo jilani yetu wanalala naye.
 
Tawile hata kama ni ya zamani lakini inafurahisha sana,kwani hv vtu vinafanyika.nimeipenda hata kama ni ya mwaka arobaini na saba.
 
old iz gold,embu piga kitu cha RANGI YA CHUNGWA km tusipoinuka jombaa!!!
 
Ubishan wa baba na mama watoto hawatakiwi kushirikishwa.sawa na ugomvi wa baba na mam watoto watakiw kuwa mashahid.
 
Back
Top Bottom