Je Unalipenda Jina Lako la Kuzaliwa au Unalichukia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Unalipenda Jina Lako la Kuzaliwa au Unalichukia?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Duduwasha, Sep 10, 2012.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Unakuta Wazazi wanawachagulia Majina Watoto wao Then Watoto wakikua wanayabadili pengine kwa kutoyapenda ukilinganishwa na ya Watoto wenzao na kuna pindi huyabadilisha ili yapendeze n.k

  Majina ambayo Watoto huyachukia sababu ya kupata Kejeri kutoka kwa Watoto Wenzao

  Chausiku

  Chawote -

  Cheusi - Hupata wakati mgumu pale wanapoitwa Cheusi Mangala.. Hununa haswa.. na kuuwaza Mkologo

  Mwanaisha - Hawa wengi hujibadilisha mapema na kujiita Aisha au kukolezea Aysha

  Sylvester - Utotoni wanataniwa Sana kwa kufananishwa na Sylvia jina la kike

  Christinian(o) - Hutaniwa na kuitwa Christina basi huwa Kero hadi wanayachukia majina yao

  Chamba - Hili nalo linapunguza mvuto kulitamka japo ni jina maarufu

  Mapunda - Hili kwa Wangoni ni Poa tu kwao

  Chogo - hili nimelisikia ni sir Name ya Mtu

  Sikujua-

  Mateso- Hawa hujiona kama jina linaleta Nuksi

  Mboro- Hawa Wachaga yaani hata kulitamka inakuwa ni Noma japo kwao linamaana

  Farouq - Hili kuna kipindi lilikuwa tusi kwa Baadhi ya Waswahili

  Rutasharobaro - Hujiita Ruta

  n.k
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...