JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kifaa Kipya '' CHOUCHA'' kinatarajiwa kutua Jangwani.. hakijawahi kukosa penalty https://www.youtube.com/shorts/4Gg77a4WWxw?feature=share
1 Reactions
1 Replies
625 Views
Narudi, ngoja niandae kisa kisha nikipaste hapa... Karibuni kwa shuhuda
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Inakuwaje WanajamiiForums Watu tunatofautiana, kuna baadhi ya watu wametawaliwa na aibu katika kipindi fulani katika umri wao, hivyo huwafanya kukosa fursa/ vitu fulani katika kipindi hiko. Kuna...
3 Reactions
19 Replies
773 Views
Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Si tumecheka na tukapika yule kuku ambaye nimekuja nae,πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ maisha ni kujuana bana
7 Reactions
6 Replies
700 Views
Inakuwajeee Kuna kitu nimekiona hapa Nimeona sisi Magreat thinkers, matajiri wa Jf kuna haja siku moja tukutane mahali fulani, itakuwa mahali gani? Ndo tukubaliane hapa. Je kila mtu aje na mkoko...
8 Reactions
79 Replies
2K Views
Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana. Wenzangu mmewahi kumbana na hili? Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Vipi weekend yako inaendaje na umepanga kuimalizia location ipi? Mliopo kidimbwi tutafutane[emoji4]
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi huyu jamaa maneno huwa anayatoa wapi?😣 Tafadhari usini tusi wala kunitishia usalama πŸ˜‚πŸ€£πŸ€­
0 Reactions
4 Replies
513 Views
Hebu share hapa kinywaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
10 Reactions
136 Replies
6K Views
Habari zenu wana JF? Natafuta marafiki wakuchati nao, waliokomaa kiakili. Kama wewe ni KE ruksa kuja PM
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Acheni kunitenga
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!.. ujinga wa huyu rafiki...
19 Reactions
58 Replies
2K Views
Hii nyimbo maanaake ni nini?πŸ™Š Sielewi kingereza
0 Reactions
7 Replies
698 Views
Habari wadau wangu, Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Hapo zamani kuku na mwewe walikuwa marafiki. Siku moja kuku akaenda kuazima sindano ya kushona nguo kwa mwewe iliyokuwa ikitumiwa na ukoo mzima wa mwewe. Kwa bahati mbaya ile sindano ikapotea...
4 Reactions
11 Replies
9K Views
Karibuni wana jukwaa tukumbushane tukio hili ambalo ni gumu kusahaulika kwenye maisha ya mtu. Pia, kuonyesha utofauti wa aina ya utongozaji wa zamani na sasa [emoji23][emoji23] Dhumuni la uzi huu...
8 Reactions
243 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…