JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja alikuwa hajawahi kuvaa chupi.Siku moja akaenda dukani kununua chupi.Baada ya kuinunua akamuuliza muuzaji mbele wapi?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Fido huoni kifutu hicho? Si hicho hapo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu...
0 Reactions
82 Replies
12K Views
Dear Mwl. Nyerere, Tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika, 1.siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya, 2.ziwa Nyasa liko Malawi, 3.Tanzanite iko Kenya, 4.Tanesco ni ya Lowassa, 6.Rais...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Just be yourself no matter what!!!!"never pretend
0 Reactions
5 Replies
758 Views
Happy Birthday Mwita Maranya a.k.a baba yake mchumba wangu gfsonwin na mpendwa wangu wa moyo Zion Daughter. Tunakutakia Mwita Maranya maisha marefu na yenye furaha, uendelee kukua huku ukimpendeza...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Jamani Sisi wa ST kayumba,haya mahesabu yalitushinda. Hyo hapo juu ni shilingi Ngapi? Nimeoiona kwenye Gazeti la Nipashe.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Natumai wanajf mnaendelea vyema ila nina Neno la kusema nanyi mwishoni mwa mwaka huu 2012 Awali ya yote nawatakia sikukuu njema ya XMASS na mwaka Mpya mwema. Ila nina jambo nataka kuwashirikisha...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamaa watatu walishinda pesa,walipozigawa wakaamua kila mmoja wao atoe kiasi flani kama sadaka. Jamaa wa kwanza Wafula akasema:"Mimi nitachora duara,nisimame katikati nirushe pesa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi to all! Napenda kuwafahamisha wana jf nami kijana wa zamani nimeingia rasmi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Neno la leo linatoka katika kitabu Kitakatifu kilichoandikwa na nabii Yeremia 17: 5-8, nalo lasema hivi:- 5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeiweka hapa ili wale wenye tabia ya kuchakachua waache. ========== Death came to a guy and said, “my friend today is your day". The guy said, "but I am not ready". Death said, "Well you are...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hey mjamaa unaviatu kubwa mpaka zinaekwa number plate....heheheheheee
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani humu ndani nani ameshawah kukutana na Viroja vya mtu mwenye kwato kama za ng'ombe atueleze ilikuaje..? Nimewahi kusikia Madereva tax huwa wanakumbana sana na hii mambo. Au ni uzushi???
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilikuwa ni majira ya saa tano usiku last weekend kikosi chetu maalum cha investigative journalism kilipotinga 'leo tupo hapa pub' kufuatilia nyendo za wana chichat waliojumuika pale kula...
3 Reactions
81 Replies
5K Views
Inasikitisha sana
0 Reactions
5 Replies
684 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…