Dena Amsi jamani.....yaani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dena Amsi jamani.....yaani!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Eeka Mangi, Apr 10, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa ukubwa wake.
  Mke wangu rudi nyumbani watoto wanakumiss sana hasa nyumbu na Zebra! Hawaachi kulia kila saa! Naambie la azizi wangu utarudi lini nikuandalie mapochopocho na nitawaalika sharubu na nguchiro.
  Wasalaaaaaaaam
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnaanza kutuboa sisi wengine...
  seriously....
  huwezi mtafuta pm huko??????????
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwani kaenda wp huyo wife wako?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hivi kila mwenye mpenzi wake akianzisha thread hapa itakuwaje?????????
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160


  Im back Baby...................
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huwezi kumtafuta mtu peke yako shurti msaada kaka. Sorry kama nimekukwaza! Ila unaipotezea tuu kama hupendi huku. Haasira utafikiri mtoto wa katibu bana!
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hata sijui itakuwaje dear.....................
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Si unaona vile watu wanaboreka eti nikuPM! kama umefungiwa!
  sasa na wewe uliondoka bila kuaga!
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kwa Babu Loliondo dear.............................
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sina hasira
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ila gubu ama. Katibu atakuwa nani vile!
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  My Huby im back right.............................
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sa kwa nn hujamwaga huyu mumeo? C unaona alvyochanganykiwa! Cku nyngne uwe unaaga mpenz, utamtia wazim mtoto wa mwanamke mwenzio!
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ungenambia nami ningeenda kwa babu ati! haya La azizi wangu. Weekend vipi!
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Roho mbaya tu usijali my husband eehhhh
   
 16. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umeona eeeeeeeeee yaani kidogo nibebe kanga nizunguke kwenye ule mti wa mhogo pale nyuma ya nyumba nikakutana na wanangu wanacheza pale! Nilipwangalia wanetu nikasita kidogo!
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kuna kitu about dena ambacho kinawafanya watu waende mbio....
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Kwa kusahau huyo mume wangu namjua mwenyewe nimemuaga na nauli kanipa na kanopeleka ubungo mwenyewe nashangaa eti kasahau leo.............................

  Naona analake jambo tu hana lolote........................
   
 19. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #19
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  The boss hata wewe????.......................
   
 20. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siri ya mtungi ha haa haaaaaaaaaaaaa.
   
Loading...