Tangu nimeijua Jf na kuamua kujiunga nimefaidika na mengi,mojawapo ni kujuwa kwa undani siasa za Tanzania ambazo zamani nilikuwa nazisikia midomoni mwa watu wachache,sasa Jf imeweka kila kitu wazi...
MOSHI=Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo;
ROMBO=Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba;
HIMO=Hata Ikipungua Mungu Ongeza;
MARANGU=Mungu Angalia Raia na Ngawira Utuhakikishie;
MAMBA=Mungu Ahidi...
.... member wa jf tubadilike sasa.
humu ndani kumekua na tabia sikuhizi ya baadhi member kutofikiri.
inapotolewa mada mara nyingi huishia kwenye marumbano, matusi na kejeli. uhuru wa kutoa maoni...
Mwanadada mmoja mrembo alienda mjini kufanya shopping,akapita mahali flani akaona muuzaji mmoja anauza kasuku elfu 25....akaamua kuulizia:
Dem:"Mambo."
Muuzaji:"Poa sista...nikusaidie nini?"...
Wanajukwaa legwa nawakubali Wandugu ktk harakati ya hapa na pale hp jukwaani!
Mi ni mgeni lakini ninafuraha kuwa nanyi pale mtakapo nikubali kwani nimekuwa naperuz kitambo na mpaka sasa nimeamua...
Naamini imetoka mbali sanaa.pamoja na changamoto zinazoisonga lakini bado ni imara na inazidi kupata wageni wapya kila siku,mwanzo kabisa mie nilikuwa naingia kwa beep hatimae nimepiga kabisa...
Ole wao serikali wanaozuia madanguro kwa maana wateja wataamia kwa wake za hao wanaozuia uwepo wa mdanguro . Wito wangu ni kuwa yale mambo ya nguza na wanawe yasijirudie. Amiin
Wahenga walisema mke wa mtu sumu.Wakimahanisha kuwa mwanamke aliye kwisha olewa na yupo ndani ya ndoa ajahachika bado.Endapo ukatokea kumpenda na akapendeka kwako na kutoka nje ya ndoa yake pia...
kanumba na sharobaro wanamuliza sajuki
'vipi mwenzetu mbona umekuja mapema ivi ndo kwanza mwanzo wa mwaka?. Sajuki alichowajibu 'nimewaletea ving'amuzi'...... to be continue hahaha
Salamu wakuu,
poleni kwa shughuli,
onyo kwa memba wapya wanaoingia humu ndani.
Mmekuta maisha yetu mazuri tuuuu hatuna stress wala mawaaa ila mmekuja mnatuchafulia hali ya hewa mimi kama mimi...
Life is multidamentioned that is from no where else.
Why most of 3rd world countries such as Tanzania Faced poor and bad life to their citizens?
This is due to the factos contributy to the...
Ni aje wakuu, don't know where else to post this.
Alright. Kusudi la hii thread ni ku post mysterious, strange, weird facts about life, nature and aliens - a kind of discovery channel.
can't...
Kwanza kabisa ningependa kuwasalimu na kuwatakia ijumaa njema. Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu uzalendo wetu umepotea kbs zamani kulikuwa na ushirikiano mkubwa sana hasa ktk...
Nchi hii ambayo ilikuwa "Fomdi" mnamo "wan naintiin sixte fo(11964), mie nakwambia Kwa sasa inatisha Kwa Rekodi Za Vituko Kwenye kadunia ketu..
Unaambiwa wamekanasa kakijana kadogo, miaka 24...