JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Guys what happening now days? ...humu jamvini hadi naanza kusahaulika ati.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
wajamv najiuliza ingekuwaje tusingekuwa tunavaa nguo kama zamani?..fikilia bize za watu kariakoo, kanisani,ticha na wanafnz darasan na kubwa zaid politician jukwaan..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Au Jumamosi hamtoki.....? mmekuja kuwaje bana.....?
0 Reactions
83 Replies
6K Views
Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?:confused:
1 Reactions
61 Replies
4K Views
Katika mpira unapochezwa ni kipi chenye spidi kati ya mchezaji na mpira?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana wana Chit Chat na wana JF kwa ujumla nimeamua kuuza Sura rasmi Jf.nashauri na wengine waige mfano wangu.Hii itakuwa rahisi kutambuana huku mitaani/mijini kuwa huyu/yule ni mzee Mtambuzi...
2 Reactions
106 Replies
5K Views
Leo nilibaatika kutizama video ya utabiri wakiama ambacho kilitarajia kutokea 2011 kakushangaza leo ni 2013 je bado waamini kilawa wasemacho wazungu
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Kuna dogo mmoja kaulizwa na baba yake: Baba: hivi mwanangu hiyo mitihani utafaulu kweli!? Mtoto: ndio baba manake mitihani ilikuwa na jibu moja Baba: kwa vipi!? Mtoto: mlangoni waliandika YESU NI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila nikiona Premium Member, nafikiria itapendezaje Wana Chit Chat kuwa na nembo ya Premium. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanafunzi wa kike wanatoka shule,wakawakuta wanafunzi wa kiume wanaangua maembe.Mwanafunzi wa kike akaangalia juu ya mwembe akamuomba yule wa kiume "kaka naomba utuangulie maembe"yule wa kiume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna tangazo moja EATV linaonyesha bodaboda likiwa na bendera la Uganda,Bajaj ikiwa na bendera ya Tanzania,na basi kama Coaster ikiwa na bendera ya Kenya yakiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dakika chache zilizo pita nimetoka kifungoni nilikodumu zaidi ya mwezi mmoja! Sasa jamani,umri wangu JF ni miezi minne tu,lakini idadi ya BAN nilizopata du!! Marry Hunbig Madame B pombekali...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
An engineer crosses a road when a frog calls out to him, "If you kiss me, I'll turn into a beautiful princess." He bends over, picks up the frog and puts it in his pocket. The frog speaks up...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari iliyonifikia hivi punde,ni kwamba; Kuna boti iliyokuwa inatoka Pemba asubuhi ya leo kuelekea Zanzibar, iliyopakia abiria wasiopungua 250 na mizigo ipatayo tani 10, wamefika salama na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa ajiua kwa kujipiga risasi mbili za kichwani........
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna thread ambazo hadi leo nikizifungua na kuzisoma, siachi kukenua walau some part ya meno ya mbele. Mbiliwapo ni pamoja na 1. Chizi alikuwa anatembea akaona kitu kama kinyesi.Akainama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi mademu zako wote wakiamua uwanunulie ving'amuzi,itakuwaje??nadhani wengine watakuwa mawakala kabisa,je wewe ni mmoja wao???
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Haya sasa nimerudi na nguvu mpya na kasi kiukweri lile jukwaa la watu wazito halifai aisee naomba msiende kabisaa kama mmenimiss nipokeeni tena mdogo wenu
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna mtoto hakuzungumza kwa miaka 7. Wazazi wake walifanya juhudi zote kuchunguza na kupata ufumbuzi wa mtoto wao kushindwa kuzungumza. Walikwenda hospitali na kwa waganga wa jadi Lakini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…