Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,493
Kuna mtoto hakuzungumza kwa miaka 7. Wazazi wake walifanya juhudi zote kuchunguza na kupata ufumbuzi wa mtoto wao kushindwa kuzungumza. Walikwenda hospitali na kwa waganga wa jadi Lakini hawakupata mafanikio yoyote. Na mwisho walifikia uamuzi kuwa mtoto wao ni bubu.
Siku moja wakati wa kufungua kinywa. Mtoto alipewa bakuri lake la uji kama kawaida. Mara baada ya kupiga fundo la uji kwa nguvu, mtoto akapiga kelele.
Baba baba, leo uji wa moto sana
Kwa mshangao baba akamwangalia mtoto wake kwa furaha na kusema: Joni !!!!! Kumbe unaweza kuzungumza !!!!!!!
Mtoto akaendeleza: Ndio baba naweza.
Baba mtu akauliza: Sasa kwanini hujawahi kufanya hivyo miaka yote hii?
Mtoto akajibu: Siku zote vuguvugu la uji lilikuwa sawa tu baba.