nipo some where, napumzika kidogo baada ya mihangaiko ya siku, napata soda ila kaja mdada ni mhudumu hapa ama kweli uzuri wa mtu upo machoni pa mtu jamani huyu dada kaumbika, kaumbika she is sex lady yani ni nooma ila tabia sijazijua so nawaza maana kauteka mtima wangu.