JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo. Mi nimeshapiga pamba zangu...
11 Reactions
118 Replies
3K Views
Nasikia tu kupinga rushwa. Mara siku ya kusukari duniani mara TB. Anayejua siku ya matapeli duniani ni lini tuanze kampeni kupinga matapeli ....
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Aisee mimi katika vitu nimekaa navyo kwa miaka mingi na mpaka sasa bado ninavyo na vinaniwezesha katika service za mwili wangu ni taulo na sanduku la nguo ambalo nimelitumia mara nyingi kuhifadhi...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Eti vile vivulana vya hapa mnisaidie kwamba kama ukimnunulia mtu simu ndo unampangia na jinsi ya kuitumia, unamchagulia na mitandao ya kujiunga na unataka ujue na Nickname yake ya JamiiForums
2 Reactions
22 Replies
784 Views
Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia...
2 Reactions
69 Replies
2K Views
Ukweli, Kwanza kuna itikadi yetu ambayo hua ni umoja popote ulipo. Yaani kwanza kama sio rozari shingoni na kujiamini bado hujakamilika hata uwe uliishia form four haukuendelea na miaka ya...
0 Reactions
2 Replies
350 Views
Hebu tupeane uzoefu kumtongoza mwanamke wa umri 60 +. Nini matokeo? Je, kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho. Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza...
28 Reactions
172 Replies
6K Views
Kama kawa, kama dawa.... Asili kuacha ni kimbembee.... https://youtube.com/shorts/FGKi35ClhvM?si=TYfyZ1TtOMv45IZt Muonekano hapo juu wa picha unasema yote, mwanamke akiwa juu ya Farasi...
16 Reactions
52 Replies
2K Views
hi Mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
12 Reactions
86 Replies
3K Views
Wakuu imezoeleka kwamba mtu unapoamka asubuhi na hang_over au mning`inio kwa kibantu basi watu wengi hukimbilia supu ya nyama makongoro au miguu ya wanyama walao nyasi. Kiuhalisia supu ya nyama...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wale wachache tunaokwenda na muda kiasi cha kuhakikisha teknolojia mpya zaidi ya simu duniani yaani iphone 16 ipo kwenye mikono yetu laini. Hapa tutaambiana vile...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. . Twendeni... Joseph/Josephine . Noel / Noela . Shariff/Shariffa.. Aziz/Aziza
17 Reactions
219 Replies
8K Views
Hii inaitwaje kitaalamu 😁
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ah wapi! Sitoi salamu Serikali mbona mnatunyanyasa asee?. Mnataka sisi hela za nyagi tuzitolee wapi? Jamaa tumeshawazoea kupigizana kelele mikwara kibao. Leo nimeamua kutafuta bifu na bahari...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Kijana huyu hapo chini kwenye picha ni mwanasheria lakini anafanya kazi ya kuuza genge baada ya kuona ajira hazieleweki. (eastafricaTv) Mdau hebu tuambie je Kwasasa unafanya kazi ya ulichokisomea?
6 Reactions
15 Replies
637 Views
Without naming a film, what is one quote that gives it away? “Good morning, and in case I don't see ya, good afternoon, good evening, and goodnight!”
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Nyie kuku wangu amejiuwa je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
13 Reactions
34 Replies
1K Views
Kitu au jambo gani ukilisikia tu au kuliona unajua linafanyika Tanzania hakuna sehemu nyingine. Naanza na mimi Kuunga kifurushi cha wiki kikaisha ndani ya siku moja
4 Reactions
21 Replies
847 Views
Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Apa lazima kichapo kikali kimtembeleee
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Back
Top Bottom